Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Watanzania wana taka hata Kama ugali ni mzuri, ila Kama hawa upendi basi nawe usi upende.Bado watanzania hamjui demokrasia na wala hamuwezi kuiishi. Kuhama chama ni haki ya mtanzania yoyote.
Hapo hajasemwa kuhama chama. Amesemwa kumkebehi mhanga kwa alichokuwa anasimamia. Wakili huwa anapewa siri na mhanga ndiyo maana anakula kiapo. Sasa kusema vile ni kama anakejeli na kutishia kuwa nitakuweka hadharani!Watanzania wana taka hata Kama ugali ni mzuri, ila Kama hawa upendi basi nawe usi upende.
Bila kujua tuna haki ya kiuchaguzi na kimaamuzi ya kufanya tutakalo.
Kasema lipi la maana hapo au wewe ndio una lazimisha ionekane hivyo?Hapo hajasemwa kuhama chama. Amesemwa kumkebehi mhanga kwa alichokuwa anasimamia. Wakili huwa anapewa siri na mhanga ndiyo maana anakula kiapo. Sasa kusema vile ni kama anakejeli na kutishia kuwa nitakuweka hadharani!
Wewe naona umeshindwa kutofautisha demokrasia na ujinga.Ndo demokrasia hiyo mbona mnaitaka ila hamuiwezi?
Bado watanzania hamjui demokrasia na wala hamuwezi kuiishi. Kuhama chama ni haki ya mtanzania yoyote.Kumbe huyu siyo wakili ni tapeli tupu
Hata kama kafanyiwa cha kufanyiwa si chini ya mtutu wa bunduki? Jee nani mwenye dhambi hapo? Mfanyaji au mfwanyaji? Aliefanywa itakuwa amedhulumiwaHapo hajasemwa kuhama chama. Amesemwa kumkebehi mhanga kwa alichokuwa anasimamia. Wakili huwa anapewa siri na mhanga ndiyo maana anakula kiapo. Sasa kusema vile ni kama anakejeli na kutishia kuwa nitakuweka hadharani!
Watanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Ndio, lkn sio kama mbwembwe zake yeye, kutwa akiwaponda watawala na akihamasisha watu wachukie watawala. Kumbe yeye kajificha nyumaBado watanzania hamjui demokrasia na wala hamuwezi kuiishi. Kuhama chama ni haki ya mtanzania yoyote.
Kwahiyo stori zake kujifanya ni mtetezi wa haki ni FEKI.Madeleka ameweka nguvu yake kuji brand kama mpinzani kupitia CDM tofauti na watu kama akina Jon Mrema ambao wamelelewa na chama.
Kumuambia asigombee 2025-30 siyo fair kabisa. Hapa busara kwa akina Tundu ilipotea njia.
Sativa ni bingwa wa matusi, na yeye ndiye aliyeanza kumnanga Wakili Madeleka baada ya kuhamia ACT. HILO jibu alilopewa ANASTAHILI kabisa
Two wrongs won't make it right.Ila tujue nae ni binadamu,sativa alimuattack sana jana sababu tu wakili mlevi kajiunga act,tuangalie na chanzo pia cha jibu kama hilo
Ni tapeli kama wewe tuKumbe huyu siyo wakili ni tapeli tupu
Siyo lazima uchangie kwa mambo ambayo huyajuiBado watanzania hamjui demokrasia na wala hamuwezi kuiishi. Kuhama chama ni haki ya mtanzania yoyote.
kumbe madeleka ni takataka tupu. Ngoja tuwajueWatanzania wengi linapokuja suala la tumbo huwa tunachanganyikiwa. Tuna njaa hakuna mfano duniani.
Huyu jamaa wakili mlevi alikuwa anasimamia hii kesi ila leo ndiye anatoa majibu haya kwa kitu alichokuwa anasimamia.
Wakili meme!
View attachment 3340586
Nakupa ushauri wa bure, naomba uachane na mimi vinginevyo nitakuumiza vibaya snNi tapeli kama wewe tu
. Kwani huwa kuhutani naye kwenye Makopo yako.
Chizi mkubwa wewe. Ayo makopo yasikupe kiburi kwamba unaweza kuwapiga nayo watuNakupa ushauri wa bure, naomba uachane na mimi vinginevyo nitakuumiza vibaya sn
Kitu gani walichomfanya? Au ndio kile walichopost kule X?KUNA KITU SATIVA ALIFANYIWA