Uelekeo555
JF-Expert Member
- Jun 1, 2024
- 306
- 210
Nimemtamani bosi wako ππ.Hongera sana bossπ
Hii ni taarifa kwa UmmaMtumiane WhatsApp
ππ daahMtumiane WhatsApp
Who cares? Best employee wa PPPC anaweza kuwa sawa na worst employee wa Citibank!View attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025/2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025/2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Umma au kijiko!Hii ni taarifa kwa Umma
Mke wa mtuNimemtamani bosi wako ππ.
Nitafurahi sana hilo likitimia.Ngoja na sisi afisa usafirishaji tumchague secretarybird kama mfanyakazi mwenzetu bora
Hata kama π.Mke wa mtu
Who is this guy?Ngoja na sisi afisa usafirishaji tumchague secretarybird kama mfanyakazi mwenzetu bora
Shem wangu kabisa.Who is this guy?
Nakumiss pia shem lake!Shem wangu kabisa.
Kwanza I Miss You.
Pili , Napumzika mapema leo.
Niko home tayar. Najizingatia.
Bodaboda πWho is this guy?
How?Bodaboda π