Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Nishaona miwani ha haaaaaAngel Nylon kuja hapa... hahaha
Nishaona miwani ha haaaaaAngel Nylon kuja hapa... hahaha
Na pia kama mmefanana hivi...Nishaona miwani ha haaaaa
Aisee, kweliNa pia kama mmefanana hivi...
SawaHii ni taarifa kwa Umma
Hongera zakeView attachment 3582626
PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026
==
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026.
Menejimenti na watumishi wa kituo hicho wametoa pongezi kwa mchango wake katika maandalizi na uchambuzi wa miradi ya PPP.
Huyu si Mrs LShem wangu kabisa.
Kwanza I Miss You.
Pili , Napumzika mapema leo.
Niko home tayar. Najizingatia.
😂😂Huyu si Mrs L
Sahihi eeenhh