PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

Ukishamjua Boss wako anafurahishwa na nini we mfurahishe tu (kwa jambo lisilokufedhesha).

Kuna mwaka Jiwe akiwa Rais eti kuna shule za Chato za serikali zikawa zinaongoza kitaifa...πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£... kama haukuwa mchongo kwanini leo haziko hata kwenye 200 bora?

Hata hili la huyu bidada Mwanaidi nalo acha litapita kama comedy nyinginezo.
 
Kwani ni Nani huyu ?
 
Wakiristo mkiona hivi mnaumia sana. Mlizoea kutudanganya wakati hakuna mitandao kama nyinyi ndio wasomi na wachapakazi pekee na wengine watu wa madrasa. Yaani mlikua kama USA kuidanganya dunia kwamba ndio jeshi lenye nguvu kabla ya vita vya Iran
Acha mambo ya udini
 
Hongera sanaaaaa
 
Hizi nafasi huwa wanapeana makazini kwa njia ya mzunguko...mwaka huu huyu, ujao yule hivyo hivyo ilimradi kila mfanyakazi apate zawadi!.
Hazinaga uhalisia kabisa!.
 
Kuna binadamu anajiita "makebo"?Tunapoelekea atakuja mwingine ajiite Keba na yoo!
 
Hongera sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…