PICHA: Huyu hapa ndio Binti wa kwanza wa Ndugai. Aumizwa sana na wanaomsema vibaya Mitandaoni baba yake

Hajawahi kuumizwa na matendo ya baba yake? Kuna kupanda na kuna kuvuna ile mbegu aliyopanda baba yake ndio muda wakuvuna umefika
 
To whom much is given, much is expected.

Mlipewa pakubwa na kuumia kunakuwa kukubwa!
 
Nimekaa hapa nawaza hivi zamu ya Chura Kiziwi nayo ikifika hali itakuwaje!! Maana ninamuangalia tu anavyo jimwambafai as if ataishi milele.
 
Wewe kidampa wa mama na huyo binti wa Ndugai endeleeni kuumia ni vizuri kabisa .

Hata mke wa Mdude aliumia na anaendelea kuumia mwezi wa 3 sasa.

Kijana wa mzee Kibao alitweet majuzi bado ana maumivu na bado aliambiwa kifo ni kifo

Hivyo acheni maigizo ya kujifanya nyie ndio mmeumia sana .
 
Mungu anisaidie tu niwe kiongozi mwema hili la watu kushangilia kifo cha huyu Bwana limenistua Sana.
 
Ndugai mtupu kasoro macho na midomo
 
Baba ake pia aliumiza wazazi na watoto wa wenzie sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…