Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #101
Acha ujinga wako hapa weweKIFO NI KOFO.
FURAHA YAO NO VIFO VYETU NA FURAHA YETU NI VIFO VYAO.
MUNGU FUNDI.

Yeah hakuna ubayaTufanyaje sasa mkuu, ndiyo kazi yatuweka mjini at least
Marehemu hasemwi vibaya.
Ni kweliMarehemu hasemwi vibaya.
AsiyasomeNdugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Nae ni mjinga kwani mwanasiasa kusemwa vibaya ni kawaida.Ndugu zangu Watanzania,

Amuulize baba yake kwanini alisema Lissu ni mtoro bungeni wakati akijua amepigwa risasi, je naye familia yake ilijisikiaje.Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Apokee mrejesho wa maamuvu ambayo baba yake aliwaumiza watu.Ndugu zangu Watanzania,

What a stupid woman, hakuumizwa, na, mateso aliyopitia Lisu, yaliyosabanishwa na, baba ake! Anakuja, kulia, Lia hapa,Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Embu acha ujinga wako hapa weweWhat a stupid woman, hakuumizwa, na, mateso aliyopitia Lisu, yaliyosabanishwa na, baba ake! Anakuja, kulia, Lia hapa,
Baba ake alikuwa mwizi, jizi,
Usinipangie furaha, aman yangu ni misiba ya Mbogamboga.Acha ujinga wako hapa wewe
Baba yake alikuwa miongoni mwa Mashetani, na siyo kwamba alikuwa Shetani tu wa hivi hivi, bali alikuwa Shetani Jini Makata (Mtoa Roho za Watu).Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Labda wewe ndiye shetaniBaba yake alikuwa miongoni mwa Mashetani, na siyo kwamba alikuwa Shetani tu wa hivi hivi, bali alikuwa Shetani Jini Makata (Mtoa Roho za Watu).
Malipo ya matendo yake ndio haya sasa
🤣🤣Kama ameumizwa na maneno kwanini asimfate baba yake akaungane naye.... hakika kifo ni kifo tu
😁😁😁Anatia huruma kama mwalimu aliyepauka na vumbi la chaki....au hela ziliisha?
Mwalimu laki 5 sikuhizi,mbunge mil 18🤣🤣🤣dunia hii bhana,usawa tutaupata mbinguni
wanamfukia lini jangili mwenzako kima weweAcha ujinga wako hapa wewe
Huna akili wewe.wanamfukia lini jangili mwenzako kima wewe