PICHA: Huyu hapa ndio Binti wa kwanza wa Ndugai. Aumizwa sana na wanaomsema vibaya Mitandaoni baba yake

Hata Wannu anaumizwa, Jescana pia
 
Bwana Lucas so uchaguzi ni mama Samia Vs salum mwalimu 😂
 
Ni Bora zaidi,kazi ya kuzungusha parachichi kwenye kisinia ni ngumu mkuu
Mara nyingi watu wanaosomeaga ualimu ni wale wenye mentality ya uoga wenye kuwaza hivi"bora niwe na kidogo chenye uhakika kuliko nitafute kingi ambacho sina uhakika nacho"
 
Wakati ndugai anadai hajui Tundu Lissu yuko wapi katoroka bungeni yeye alikuwepo

Mwambieni aache kuzua taharuki kifo ni kifo tu
 
Angeachana na mambo ya mtandaoni amzike Baba yake anataka kwenda sawa na wahuni kipindi cha msiba huyo Millard mwenyewe muhuni tu anataka kuuza habari kwa mfiwa na kwenda kumhoji kuhusu mambo ya mtandaoni mbona yupo kimya kuhusu Uchaguzi wa CCM..
 
Ukitazama mke mdogo na watoto wake wapo na nuru Ila mke mkubwa na watoto wake wamechoka Sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…