Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,580
- 5,563
Huna akili Timamu wewe.kama yeye kaumia hivi basi huyo Wanu toto la Samia mbona litabubujikwa na michoz ya uchungu na miushuzi mingi
mapaja ya mamayo yana akili?Huna akili wewe.
Wewe ukifa pia Tanzania nzima itashangilia.Ndugu zangu Watanzania,
Huyu ndiye Binti wa Kwanza wa Mheshimiwa Jobu Ndugai ambaye amefariki Dunia hapo Siku ya Jana.
Embu soma kama ilivyo. Mimi nimeichukua kama picha ila ni Video ya Dakika saba binti Wa Marehemu Ndugai akielezea kwa hisia kali sana na uchungu sana juu ya kifo cha Baba yake na Maneno ya Mitandaoni.👉Catherine Ndugai,Mtoto wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Dodoma amezungumza na kueleza jinsi alivyokutana na Baba yake kwa mara ya mwisho kabla ya kifo chake.
Akizungumza na Ayo TV leo akiwa Mkoani Arusha amesema kuwa yeye hakuwahi kutamani kuingia kwenye siasa na wakati mwingine huwa akiona maneno yanayotolewa kwa wanasiasa hata kama hayamhusu baba yake huwa yanamuumiza.
Aidha, ameeleza kukerwa na baadhi ya watu wanaomzungumzia vibaya Baba yake kwenye Mtandao na kusema hizo ni hisia binafsi za watu na haziwezi kumuathiri kwa kuwa alikuwa anamfahamu Baba yake vizuri
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3435343View attachment 3435344
Utakufa weweWewe ukifa pia Tanzania nzima itashangilia.
😂😂😂😂😂Anatia huruma kama mwalimu aliyepauka na vumbi la chaki....au hela ziliisha?
Mwalimu laki 5 sikuhizi,mbunge mil 18🤣🤣🤣dunia hii bhana,usawa tutaupata mbinguni
Tuwekee na ya mke wa mdude bas, ambae mpaka leo hajui kama baba wa familia yake yupo hai au amekufa. Mwambie siku anazikwa aingie kaburini tumfukie pamoja na baba yake. Shwain kabisaNdio maana unaona Binti anazungumza kwa uchungu na hisia kali sana.
Mdude ndio nani?Tuwekee na ya mke wa mdude bas, ambae mpaka leo hajui kama baba wa familia yake yupo hai au amekufa. Mwambie siku anazikwa aingie kaburini tumfukie pamoja na baba yake. Shwain kabisa
Bwana akoMdude ndio nani?
huo ndo ukwel Bwana LucasHuna akili Timamu wewe.
🤣🤣🤣Inachekesha sana😂😂😂😂😂
Kwa kwelii, 😂😂😂😂🤣🤣🤣Inachekesha sana