Bibianna
JF-Expert Member
- Jun 6, 2025
- 474
- 163
🤣🤣NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
🤣🤣NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
ENLArudishwe Balozi Polepole
Sema lazima atoke kwa Friends of ….😂
Sio Mrundi nasikia ni mnyamweziKafulila angefaa ila ni Mrundi
Shaka ni sahihi kabisa||
Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au zaidi ya hizi.
1. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM hasa wa kupambana na Upinzani kwa hoja lakini mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kama chama dola kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa anayetumia takwimu ( Political numbers ) lakini mwenye historia ya kueleweka na kukubalika Umma wa Watanzania wote bila kujali tofauti zao za kiitikadi, kiimani na hata kimichezo.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi na kueleweka kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wapya wenye hoja hasa za Kiuchumi na kifedha hivyo lazima tuwe na Katibu Mkuu atakayewajibu Wapinzani kwa Kadiri na namna watakavyokuja na hiyo ndio maana halisi ya siasa.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kutawala majukwaa mbalimbali pamoja Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo kujiimarisha kwa kwa sasa kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii hivyo CCM lazima iwekeze siasa zake zaidi huku kwa sasa kwani ndio kuna watu wengi na gharama ni nafuu.
Majina yanayotajwa tajwa zaidi huku mitaani kwa sasa ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
Pre GE2025 - PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo
Watasema MzanzibarShaka ni sahihi kabisa
Hapa Shaka nadhani||

Hawa wote ni Wazalendo sana||

Hapo wamuweke Askofu Bagonza (PhD) Tu nae apunguze njaa Miaka yake mitano aje mwingine aendeleze propagandaHabari za ccm msisumbuke kuzileta mitandaoni.. Hazina mvuto tena
Sio CCMHapo wamuweke Askofu Bagonza (PhD) Tu nae apunguze njaa Miaka yake mitano aje mwingine aendeleze propaganda
Wabongo hawawezekani ila ndio hivyo tenaWatasema Mzanzibar
Daaah umeenda mbali sana mkuuCcm hapana aisee labda aje Mungu mwenyewe kuwa katibu mkuu.
John Mongela anatosha sana.||
Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au zaidi ya hizi.
1. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM hasa wa kupambana na Upinzani kwa hoja lakini mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kama chama dola kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa anayetumia takwimu ( Political numbers ) lakini mwenye historia ya kueleweka na kukubalika Umma wa Watanzania wote bila kujali tofauti zao za kiitikadi, kiimani na hata kimichezo.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi na kueleweka kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wapya wenye hoja hasa za Kiuchumi na kifedha hivyo lazima tuwe na Katibu Mkuu atakayewajibu Wapinzani kwa Kadiri na namna watakavyokuja na hiyo ndio maana halisi ya siasa.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kutawala majukwaa mbalimbali pamoja Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo kujiimarisha kwa kwa sasa kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii hivyo CCM lazima iwekeze siasa zake zaidi huku kwa sasa kwani ndio kuna watu wengi na gharama ni nafuu.
Majina yanayotajwa tajwa zaidi huku mitaani kwa sasa ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
Pre GE2025 - PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo
AsanteMwakyembe