Unamaanisha CCM wote kanyaboya?Watu smart!!??
CCM ni "smartness" ni mbingu na ardhi.
Huwezi kuwa smart halafu ukawa CCM.
Haiwezekani.
Unamaanisha CCM wote kanyaboya?Watu smart!!??
CCM ni "smartness" ni mbingu na ardhi.
Huwezi kuwa smart halafu ukawa CCM.
Haiwezekani.
Vijana hawajui mambo mengi Katibu mkuu ni mtu mkubwa mnoKatibu Mkuu wa CCM ni cheo kikubwa sana kuliko mbunge au waziri, mwulize Bashiru atakujuza.
Kafulila ni mgeni CCM na CCM inawenyewe Kafulila labda mwenyewekiti wa mtaa huko chini mtu hajawai kushindwa nafasi yoyote kwenye chama cha mapinduzi ghafla apewe ukatibu mkuu au Mwenezi mnaumwaMimi naona , Kafulila apitishwe atafaa
Kafulila ni mgeni CCM na CCM inawenyewe Kafulila labda mwenyewekiti wa mtaa huko chini mtu hajawai kushindwa nafasi yoyote kwenye chama cha mapinduzi ghafla apewe ukatibu mkuu au Mwenezi mnaumwa
Wanaleta utani hawa mtu hajakulia kwenye Chama apewe na nafasi ya juu ya Uongozi tena kwenye Chama ayo Mambo yako ChademaCCM watu wanaichukuliaga poa sana. CCM ni washenzi wale, wana miiko yao, mtoto wa kambo hachezei chumbani.
CCM hawawezi mpa ukatibu mkuu mtu wasiemlea kiitikadi na kiimani. Kafulila, huyo dogo na Mwakyembe watoe hapo.
Katibu mkuu wa CCM, hawezi kuwa wakuja. Atakuwa ni mtu waliomlea wenyewe na kumkomaza, yaani kwa lugha nyingine kakulia ndani ya chama, kalelewa na ana kijua chao chakavu.
Huyo Kafulila hata wao hawamuamini! Ataishia kupiga kelele kwenye serikali huko chamani hawawezi muingiza mtu aliewapinga kwa miaka mingi bungeni.
Wapinzani wa kuhama hamaYes, ni hao ndugu.
Ni kweli mkubwa ila kinachotafutwa akiliVijana hawajui mambo mengi Katibu mkuu ni mtu mkubwa mno
Maana yake ni Rafiki
Hatimaye siku ZimewadiaHabari zilizozagaa kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au zaidi ya hizi.
1. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM hasa wa kupambana na Upinzani kwa hoja lakini mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kama chama dola kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa anayetumia takwimu ( Political numbers ) lakini mwenye historia ya kueleweka na kukubalika Umma wa Watanzania wote bila kujali tofauti zao za kiitikadi, kiimani na hata kimichezo.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi na kueleweka kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wapya wenye hoja hasa za Kiuchumi na kifedha hivyo lazima tuwe na Katibu Mkuu atakayewajibu Wapinzani kwa Kadiri na namna watakavyokuja na hiyo ndio maana halisi ya siasa.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kutawala majukwaa mbalimbali pamoja Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo kujiimarisha kwa kwa sasa kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii hivyo CCM lazima iwekeze siasa zake zaidi huku kwa sasa kwani ndio kuna watu wengi na gharama ni nafuu.
Majina yanayotajwa tajwa zaidi huku mitaani kwa sasa ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
Pre GE2025 - PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo
CCM imejaza washirikina na majangili tupuTechnology hapa. Ndo CCM wanapochoka mambo yanakuwa hadharani mapema
Ukiona mchezaji kanunuliwa, ujue yuko skangaga. Uzuri wa Magu sokoni alikuwa anaingia mwenyewe kufanya usajili.Mpaka walio nunuliwa kutoka upinzani wanatajwa
Nenda wewe ukawe hata Mwenyekiti wa mtaa sababu ni TanzaniaKwani ng'ambo sio Tanzania