1. Mongela to Katibu Mkuu. (
2. Ally Bananga to Katibu Mwenezi (Makala to Ubunge Mvomero)
3. Makamu mwenyekiti to step down, mikiki mikiki ya uchaguzi haiwezi, umri ushaenda sana.
4. Chalamalila to Naibu Katibu Mkuu bara.
5. Mizengo Pinda to take Makamu Mwenyekiti wa Chama.

Tegemea lolote kutoka kwenye haya kabla ya kipenga cha kuchukua form kianze.

Ni mimi Mayor mtarajiwa.
 
ccm imeishiwa, haina tena nguvu ya ushawishi, hao wote waliotaja hakuna kituu, tena wengine ni wapinzani kabsa wa ccm
 
Kila laheri yeyote atakayeteuliwa
 
Huyo namba 3ana hoja,ila kwa wasomi na wajuzi wa Mambo hawatamkubali, maana ni wa kuhamahama kama chura,makini mara nchi kavu!
 
Kati ya wote hao Tumbili anafaa anajua sana Siasa za hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…