Paramagamba!2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani
Upinzani upi, huu wa kina Heche?Hakuna mtu nayeweza kupambana na hoja za upinzani kwasababu hoja zao nyingi zina mantiki, na chama tawala hawawezi jadili hoja za namna hiyo.
CCM mumeshachokwa hata mkimteua padre kitima bado mtapigwa za uso tu
Ongeza na sifa hii nyingine muhimu5. Awe mwenye Viwango vya juu vya Uchawa.
6.Awe mwenye uwezo wa Kusema Uongo,kudanganya wananchi.
Sioni kwa hao kama kuna mwenye sifa hizo!
Makonda kama hayumo, basi hii tetesi sio sahihi!makonda je? mastermind wa mama
Makamba jrHabari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
Makonda kama hayumo, basi hii tetesi sio sahihi!
CCM haikeshi mitandaoni iko vijijini.kwenye majority ya watanzania wasiojua hata mitandao ni kitu gani na mijini iko mitaani physically kwenye maeneo ya watu wengi ambao kwao matumizi ya mitandao madogo na wengi simu zao ni nokia torch4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Mgombea mwenza uchaguzi mkuuNchimbi anapelekwa wapi tena?
🤣🤣🤣😂😄😃Habari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
Hao siyo comrades ni matapeliHabari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
Wewe tunakujua ni Tumbili!! Acha kujipigia debe Lofa weweHabari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
There's no equality in this world, but equity!Ahsante sana umeona ukweli na ukasahau itikadi, mwisho wa siku hii ni nchi yetu sote japo kuna wanaoila zaidi ya wote
Huko kwenye majority mlikojikita ndo kule mnakobeba watu kwenye mabus kwenda mikutanoni!?CCM haikeshi mitandaoni iko vijijini.kwenye majority ya watanzania wasiojua hata mitandao ni kitu gani na mijini iko mitaani physically kwenye maeneo ya watu wengi ambao kwao matumizi ya mitandao madogo na wengi simu zao ni nokia torch
Kifupi utawala wa sasa umepania ile kauli mbiu ya Chama kushika hatamu
Ndio maana tumeona Mgombea uraisi na Makamu wote wakiwa viongozi wa CCM kitaifa wenye uzoefu ndani ya vyeo ndani ya CCM na jumuiya zake sio outsiders
Ofisi za CCM ziko kila kijiji na mtaa nchi nzima hata hapo kwako mtaani au kijijini ofisi ya CCM ipo.Na wana CCM wapoHuko kwenye majority mlikojikita ndo kule mnakobeba watu kwenye mabus kwenda mikutanoni!?