Hilo andiko atakuwa kaleta kafulila anapenda sana kujinadi mitandaoni badala ya kuchapa kazi mamlaka zimuone .Hapo mwenye ubavu wa kushawishi ni kafulila hao wengine afadhari ya nchimbi
Waambie mods wawe wanazifuta. Jukwaa la chadema hili!Habari za ccm msisumbuke kuzileta mitandaoni.. Hazina mvuto tena
Watatoa hoja gani kuitetea Ccm ?ccm imeozaHabari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
Labda Dr. BashiruHabari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
Mbona hao wote matumbiliHabari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
Kafulila wanaomtaka taja kama mtu anayejua kujenga hoja vizuriHilo andiko atakuwa kaleta kafulila anapenda sana kujinadi mitandaoni badala ya kuchapa kazi mamlaka zimuone .
Kifupi cheo cha katibu mkuu wa chama tawala ni cheo cha wavaa suti vyeo vikubwa wajuao chama ndani nje na serikali ndani nje
Sifa hizo kafulila hana
HIYO NAFASI NI YA COMRADE MARTIN SHIGELA TOKA MDA SEMA KUNA KIGIZA FLANI HIVI ILA KITAPAMBAZUKA NA COMRADE SHIGELA ATASHIKA HIYO NAFASI MTU WA CHAMA YULE NA ANAKIJUA SANA KAMA ALIVYOMTANGULIZI WAKE NCHIMBIMartine shigela atakuwa katibu mkuu.
Hana uwazi wowote!Watu wanataka uwezo sio uchama
Huyo Bashite mtoe,anatuhuma mbaya USA!waziri wa mambo ya nje Thabit Kombo anafaa hiyo post, mwenezi arudi makonda, makamu Ally Happy
Unaijua viieite wewe, unaijua!Arudishwe Balozi Polepole
Sema lazima atoke kwa Friends of ….😂
Ushaona wapi tumbiri anayeishi majini? 😁😁🤣😆Huyo namba 3ana hoja,ila kwa wasomi na wajuzi wa Mambo hawatamkubali, maana ni wa kuhamahama kama chura,makini mara nchi kavu!
Sifa hii wanaye kweli.Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
Habari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,
1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.
2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.
3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.
4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.
Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.
1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010
2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
3. Cde David Zachari Kafulila
View attachment 3345017
ally happy ni mkuukuu?hivi CCM hainaga watu wapya?
Kwani anatafutwa kiongozi wa CCM USA?Huyo Bashite mtoe,anatuhuma mbaya USA!