Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote
Habari zilizozagaa kwa makada walio wengi wa CCM na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya Dkt Emmanuel Nchimbi lazima awe sifa hizi au zaidi,

1. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM wa Kupambana na Upinzani Kwa hoja na mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kuelekea Oct 2025.

2. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa Kwa takwimu na mwenye historia ya kukubalika na Watanzania wote bila kujali tofauti za kiitikadi wala kiimani.

3. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi Kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wenye hoja hasa za Kiuchumi na Kifedha.

4. Anatafutwa Katibu Mkuu Wa CCM anayeweza kutawala Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo Kwa kuzingatia Kwa sasa Kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii.

Majina yanayotajwa tajwa huku mitaani ni haya matatu.

1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010

2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
Pre GE2025 - PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

3. Cde David Zachari Kafulila

View attachment 3345017
David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo
Kagulila na Shaka wanafaa zaidi kwaajili ya umri wao
 
Kwa maana hiyo walishaona kuwa Nchimbi ni kilaza au?
 
Kafulila anaifaa hiyo nafasi siku zote huwa anaongea kwa hoja akionekana anakifahamu kwa kina kinachozungumzwa.

Huyo Mwakyembe nadhani ni muda wa kupangiwa kazi nyingine zisizomhitaji kuonekana mbele ya macho ya watu.

Huyo mzenji bado hajakomaa kwa kazi ya wazi yenye kuhitaji utulivu wa kujibu maswali na uwezo wa kutanguliza busara na hekima wakati wa kuzinadi sera na itikadi za chama.
 
Mimi naona Hawa vijana Kwa maana ya Shaka na Kafulila wanafaa sana
 
Anaye faa sana sanaaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kwa sasa ni Balozi Pole Pole
 
Naamini Balozi Polepole anafanya vizuri zaidi CCM kwa wakati huu, kuliko wote
 
Habari zilizozagaa kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Wajumbe wengi wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe sifa hizi zifuatazo au zaidi,

1. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM hasa wa kupambana na Upinzani kwa hoja lakini mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kama chama dola kuelekea Oct 2025.

2. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM asiye na makundi kwenye chama na mwenye historia ya kujenga hoja hasa anayetumia takwimu ( Political numbers ) lakini mwenye historia ya kueleweka na kukubalika Umma wa Watanzania wote bila kujali tofauti zao za kiitikadi, kiimani na hata kimichezo.

3. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kufafanua vizuri mambo ya fedha na Uchumi na kueleweka kwa kuzingatia Chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania Cha CHADEMA kimeteua viongozi wake wapya wenye hoja hasa za Kiuchumi na kifedha hivyo lazima tuwe na Katibu Mkuu atakayewajibu Wapinzani kwa Kadiri na namna watakavyokuja na hiyo ndio maana halisi ya siasa.

4. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM anayeweza kutawala majukwaa mbalimbali pamoja Social media (mitandao ya kijamii) kwakuwa ndio hasa Upinzani wanatumia njia hiyo kujiimarisha kwa kwa sasa kwa mujibu wa TCRA Kuna zaidi ya Watanzania 40mil wanatumia mitandao ya kijamii hivyo CCM lazima iwekeze siasa zake zaidi huku kwa sasa kwani ndio kuna watu wengi na gharama ni nafuu.

Majina yanayotajwa tajwa zaidi huku mitaani kwa sasa ni haya matatu.

1. Cde Dkt Harrison Mwakyembe
View attachment 3345010

2. Cde Shaka Hamdu Shaka
View attachment 3345012
Pre GE2025 - PICHA: Ona Mapokezi kabambe ya Cde CPA Amos Makalla Kilosa kwa Mwenezi Mstaafu Cde Shaka Hamdu Shaka

3. Cde David Zachari Kafulila

View attachment 3345017
David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo
wampe tu kafulia ila muda c mrefu naye atafulia huwezitetea wezi na majambazi ukashinda
 
1. Anatafutwa Katibu Mkuu wa CCM hasa wa kupambana na Upinzani kwa hoja lakini mwenye weledi wa kutosha wa kuiongoza CCM kama chama dola kuelekea Oct 2025.
Chama kilishafitinika pote hiki!
Tulikupenda sana ccm ila sasa umetutoka mno!
 
1. Mongela to Katibu Mkuu. (
2. Ally Bananga to Katibu Mwenezi (Makala to Ubunge Mvomero)
3. Makamu mwenyekiti to step down, mikiki mikiki ya uchaguzi haiwezi, umri ushaenda sana.
4. Chalamalila to Naibu Katibu Mkuu bara.
5. Mizengo Pinda to take Makamu Mwenyekiti wa Chama.

Tegemea lolote kutoka kwenye haya kabla ya kipenga cha kuchukua form kianze.

Ni mimi Mayor mtarajiwa.
Makala amesema hagombei ubunge.
 
Back
Top Bottom