Picha: Huyu msanii huwa yupo?

Picha: Huyu msanii huwa yupo?

Mada zingine chokonozi, changia vibaya uone mwisho wako utakuwaje.

IMG_0636.jpg

Jinsi jamaa wa kipenyo wanaangalia atakayeropoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna binadamu asiye na mapungufu .Ila vile vile sifa anazostahili apewe huyu mama hana roho mbaya na ni mkarimu na mpole ni vile tu kuna watu wanatumia fursa hii kufanya kinyume na matwakwa ya jamii
 
Ila dada yetu Raisi Samia ni mtu muungwana asiye na makuu kabisa, ukweli huu ni lazima tuuseme. Tatizo linaanza pale tu ambapo amezungukwa na kugeuzwa mateka wa genge la majambazi wala nchi, ambao kwa namna moja au nyingine ndiyo wamemuhakikishia usalama wake, dhidi ya lile genge jingine dhalimu.....

Kuna siku huwa namkasirikia mno kwa jinsi mambo yanavyoenda nchini, lakini kila nikifiri kwa uhalisia huwa naishia tu kumuonea huruma. Namuombea Mungu amsaidie na kumtunza.....
Sasa kama hana maamuzi unamuombea ili iweje?
 
Namkubali Sana mh rais samia nje ya siasa hata yeye ni binadamu kuna picha ya Magufuli nikiiweka hapa mtasema ni photoshop
 
Back
Top Bottom