Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Mtaani wapi huko unakosemea? Kwani Majuzi tu hapa hukumuona kule Dodoma?Mwambie sasa aache kujificha. Aje mtaani tuchangamane.
Pumbavu sana mjinga weweNdugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake.
Ndiye anayeweza kusimama akazungumza na wazungu na mabeberu wakamsikiliza kwa utulivu na umakini mkubwa. Ndiye ambaye watu na Dunia yote hufuatilia hotuba zake kwa ukaribu zaidi . Ndio maana akizungumza muda huo huo unaona Taarifa na habari zake zikigonga na kusikika katika vyombo vyote vya ndani ya Nchi na vile vyote vya kimataifa.
Huyu ndiye Amekuwa Sauti ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu sana na kuhitajika na wa Afrika. Tangia kufa kwa wazee wetu waliopigania uhuru wa Nchi zetu za kiafrika.
Ni Mama huyu pekee Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ana uwezo wa kusimama jukwaani na kuwaambia ukweli mchungu wazungu bila kupepesa macho . Ndiye kiongozi awezaye kuzungumza bila kupinda . Kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Kwake spedi ni spedi na kijiko ni kijiko.
Ndiye tumaini pekee la Afrika na sauti ya wa Afrika. Ndio sababu ya kuona sasa hata vyombo vya habari vya kimataifa vikiwa na adabu katika kuripoti habari zetu na kiwa makini sana . Maana vilizoe kufanya propaganda za uongo za kuchafua Nchi na baadhi ya viongozi kwa maslahi ya Nchi na Mataifa yao.
Sasa wamekutana na Chuma cha Reli , kiongozi mwenye msimamo asiye yumba wala kuyumbishwa,asiye tetereka wala Kutetereshwa .
Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia kuwa na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kitini . Huyu ni Amiri jeshi Mkuu aliyekamilika . Yupo mbele ya muda kwa mambo mengi sana na maono yake ni ya kinabii.View attachment 3517228
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mungu akusamehe sanaSIJAKUOMBA MSAMAHA WOWOTE. Wewe ni kinyeo tu
Mungu akusamehe sana
Alikuwa amejificha kwenye yale mahema, au kule porini Chamwino?Mtaani wapi huko unakosemea? Kwani Majuzi tu hapa hukumuona kule Dodoma?
Utakufa na wivu wako na chuki zako binafsi. Huna cha kufanya na huwezi kumshusha MamaAlikuwa amejificha kwenye yale mahema, au kule porini Chamwino?
Mwambie wale wapiga kura wake milioni 32 waliompigia kura Oktoba 29 wanamsubiri kwa hamu. Asijifiche porini Chamwino. Hakuna ishu huko.Utakufa na wivu wako na chuki zako binafsi. Huna cha kufanya na huwezi kumshusha Mama
Baada ya huu uzi nimeona umestaili KUOUGWA IGNORE LIST NA MIMI NDIYO NAENDA KUKUOIGA SASA HIVI😁😁😁😁 KUITA UKAHABA NI UZALENDO NI KUFURU KUBWA SANA 😁😁😁😁 🚯Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake.
Ndiye anayeweza kusimama akazungumza na wazungu na mabeberu wakamsikiliza kwa utulivu na umakini mkubwa. Ndiye ambaye watu na Dunia yote hufuatilia hotuba zake kwa ukaribu zaidi . Ndio maana akizungumza muda huo huo unaona Taarifa na habari zake zikigonga na kusikika katika vyombo vyote vya ndani ya Nchi na vile vyote vya kimataifa.
Huyu ndiye Amekuwa Sauti ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu sana na kuhitajika na wa Afrika. Tangia kufa kwa wazee wetu waliopigania uhuru wa Nchi zetu za kiafrika.
Ni Mama huyu pekee Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ana uwezo wa kusimama jukwaani na kuwaambia ukweli mchungu wazungu bila kupepesa macho . Ndiye kiongozi awezaye kuzungumza bila kupinda . Kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Kwake spedi ni spedi na kijiko ni kijiko.
Ndiye tumaini pekee la Afrika na sauti ya wa Afrika. Ndio sababu ya kuona sasa hata vyombo vya habari vya kimataifa vikiwa na adabu katika kuripoti habari zetu na kiwa makini sana . Maana vilizoe kufanya propaganda za uongo za kuchafua Nchi na baadhi ya viongozi kwa maslahi ya Nchi na Mataifa yao.
Sasa wamekutana na Chuma cha Reli , kiongozi mwenye msimamo asiye yumba wala kuyumbishwa,asiye tetereka wala Kutetereshwa .
Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia kuwa na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kitini . Huyu ni Amiri jeshi Mkuu aliyekamilika . Yupo mbele ya muda kwa mambo mengi sana na maono yake ni ya kinabii.View attachment 3517228
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu Watanzania,

Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe na Mungu akusamehe sana na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani kwa watu wote.
Utakufa na wivu wako na chuki zako binafsi. Huna cha kufanya na huwezi kumshusha Mama
Wenye chuki binafsi mtateseka sana kipindi hikiUkiskia movie ilianza vizuri,ilipokaribia tu kuisha ikapoteza radha
Ndo hii sasa
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake.
Ndiye anayeweza kusimama akazungumza na wazungu na mabeberu wakamsikiliza kwa utulivu na umakini mkubwa. Ndiye ambaye watu na Dunia yote hufuatilia hotuba zake kwa ukaribu zaidi . Ndio maana akizungumza muda huo huo unaona Taarifa na habari zake zikigonga na kusikika katika vyombo vyote vya ndani ya Nchi na vile vyote vya kimataifa.
Huyu ndiye Amekuwa Sauti ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu sana na kuhitajika na wa Afrika. Tangia kufa kwa wazee wetu waliopigania uhuru wa Nchi zetu za kiafrika.
Ni Mama huyu pekee Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ana uwezo wa kusimama jukwaani na kuwaambia ukweli mchungu wazungu bila kupepesa macho . Ndiye kiongozi awezaye kuzungumza bila kupinda . Kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Kwake spedi ni spedi na kijiko ni kijiko.
Ndiye tumaini pekee la Afrika na sauti ya wa Afrika. Ndio sababu ya kuona sasa hata vyombo vya habari vya kimataifa vikiwa na adabu katika kuripoti habari zetu na kiwa makini sana . Maana vilizoe kufanya propaganda za uongo za kuchafua Nchi na baadhi ya viongozi kwa maslahi ya Nchi na Mataifa yao.
Sasa wamekutana na Chuma cha Reli , kiongozi mwenye msimamo asiye yumba wala kuyumbishwa,asiye tetereka wala Kutetereshwa .
Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia kuwa na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kitini . Huyu ni Amiri jeshi Mkuu aliyekamilika . Yupo mbele ya muda kwa mambo mengi sana na maono yake ni ya kinabii.View attachment 3517228
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu ndiye kinara wa UTEKAJINdugu zangu Watanzania,