PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake.

Ndiye anayeweza kusimama akazungumza na wazungu na mabeberu wakamsikiliza kwa utulivu na umakini mkubwa. Ndiye ambaye watu na Dunia yote hufuatilia hotuba zake kwa ukaribu zaidi . Ndio maana akizungumza muda huo huo unaona Taarifa na habari zake zikigonga na kusikika katika vyombo vyote vya ndani ya Nchi na vile vyote vya kimataifa.

Huyu ndiye Amekuwa Sauti ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu sana na kuhitajika na wa Afrika. Tangia kufa kwa wazee wetu waliopigania uhuru wa Nchi zetu za kiafrika.

Ni Mama huyu pekee Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ana uwezo wa kusimama jukwaani na kuwaambia ukweli mchungu wazungu bila kupepesa macho . Ndiye kiongozi awezaye kuzungumza bila kupinda . Kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Kwake spedi ni spedi na kijiko ni kijiko.

Ndiye tumaini pekee la Afrika na sauti ya wa Afrika. Ndio sababu ya kuona sasa hata vyombo vya habari vya kimataifa vikiwa na adabu katika kuripoti habari zetu na kiwa makini sana . Maana vilizoe kufanya propaganda za uongo za kuchafua Nchi na baadhi ya viongozi kwa maslahi ya Nchi na Mataifa yao.

Sasa wamekutana na Chuma cha Reli , kiongozi mwenye msimamo asiye yumba wala kuyumbishwa,asiye tetereka wala Kutetereshwa .

Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia kuwa na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kitini . Huyu ni Amiri jeshi Mkuu aliyekamilika . Yupo mbele ya muda kwa mambo mengi sana na maono yake ni ya kinabii.View attachment 3517228

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
IMG_20251214_075829.jpg

Mahabat
IMG_20251202_183322.jpg
 
Kama uzalendo ni kuua raia wake basi mpeni tuzo yake, Kama uzalendo ni kuteua washkaji na wanafamilia wake serikalini basi apewe tuzo yake, kama uzalendo ni kushindwa kuendesha mradi wa mwendokasi kwa kuzidiwa na wateja basi apewe tuzo yake, Kama uzalendo ni kuteka watu na kuwapoteza basi apewe tuzo yake.

Sijui huwa ndugu yangu lucas huwa unatumia nn kufikiri, Yes tunaweza tofautiana kwenye fikra ila kuwa kipofu huku ukiwa mzima kabisa hilo ni tatizo kubwa sana.

Hii Nchi ni yetu sote, hiki unachofanya hapa mpaka watoto wako na wajukuu watakuja kukiona, haya mabandiko ni kejeli kubwa sana watu waliopoteza wapendwa wao, walioteswa na kulawitiwa, Shame on You!

Kuwa mzalendo ni kupambania Taifa lako kwa mazuri sio kwa kuficha ubaya.
 
Halafu mnataka haki wakati mnashindwa kumpa mtu haki yake ya maoni,
Yeye kamuona mama hivyo, kama unapinga basi kwa hoja sio kukashifu maoni ya mwengine
 
Kama uzalendo ni kuua raia wake basi mpeni tuzo yake, Kama uzalendo ni kuteua washkaji na wanafamilia wake serikalini basi apewe tuzo yake, kama uzalendo ni kushindwa kuendesha mradi wa mwendokasi kwa kuzidiwa na wateja basi apewe tuzo yake, Kama uzalendo ni kuteka watu na kuwapoteza basi apewe tuzo yake.

Sijui huwa ndugu yangu lucas huwa unatumia nn kufikiri, Yes tunaweza tofautiana kwenye fikra ila kuwa kipofu huku ukiwa mzima kabisa hilo ni tatizo kubwa sana.

Hii Nchi ni yetu sote, hiki unachofanya hapa mpaka watoto wako na wajukuu watakuja kukiona, haya mabandiko ni kejeli kubwa sana watu waliopoteza wapendwa wao, walioteswa na kulawitiwa, Shame on You!

Kuwa mzalendo ni kupambania Taifa lako kwa mazuri sio kwa kuficha ubaya.
Alichoandika wewe hakika uhalisia wala ukweli wa aina yoyote ile zaidi ya uzushi ,uongo ,chuki binafsi pamoja na kudanganywa danganywa tu
 
Uzalendo wa kuua Watanganyika zaidi ya 20,000 kisha kuwafukia kwenye makaburi ya halaiki kuficha ushahidi? Wewe luka ukapimwe akili na marinda pia unaandika ujinga mwingi sana humu.
Acha kuropoka ropoka Hovyo kama lilevi la gongo. Wewe huwa hujitambui kabisa zaidi ya utokaji tu.
 
Wewe unayepost usenge ndiye hujitambui siju hata kwa nini MODS hawakupigi life ban kwani ulishangangilia sana JF ilivyofungiwa, malaya mbovu wewe. Kutwa kucha unamsifia mtu ambaye ana chuki ya asili na Watanganyika hasa Wakristo, utakuwa na upungufu wa akili.
 
Wewe hunaga akili kabisa. Nashangaa inakuwaje unajibizana na mimi akili kubwa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa sasa Huyu Ndiye Mzalendo nambari Moja Aliyebakia Hapa Barani Afrika. Ndiye Tumaini kuu la watanzania na wa Afrika wote. Ndiyo sauti na nguvu ya watanzania na Afrika kwa Ujumla wake. Ndiye nuru na Mwanga wa watanzania na waafrika kwa ujumla wake.

Ndiye anayeweza kusimama akazungumza na wazungu na mabeberu wakamsikiliza kwa utulivu na umakini mkubwa. Ndiye ambaye watu na Dunia yote hufuatilia hotuba zake kwa ukaribu zaidi . Ndio maana akizungumza muda huo huo unaona Taarifa na habari zake zikigonga na kusikika katika vyombo vyote vya ndani ya Nchi na vile vyote vya kimataifa.

Huyu ndiye Amekuwa Sauti ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda mrefu sana na kuhitajika na wa Afrika. Tangia kufa kwa wazee wetu waliopigania uhuru wa Nchi zetu za kiafrika.

Ni Mama huyu pekee Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ana uwezo wa kusimama jukwaani na kuwaambia ukweli mchungu wazungu bila kupepesa macho . Ndiye kiongozi awezaye kuzungumza bila kupinda . Kwake nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Kwake spedi ni spedi na kijiko ni kijiko.

Ndiye tumaini pekee la Afrika na sauti ya wa Afrika. Ndio sababu ya kuona sasa hata vyombo vya habari vya kimataifa vikiwa na adabu katika kuripoti habari zetu na kiwa makini sana . Maana vilizoe kufanya propaganda za uongo za kuchafua Nchi na baadhi ya viongozi kwa maslahi ya Nchi na Mataifa yao.

Sasa wamekutana na Chuma cha Reli , kiongozi mwenye msimamo asiye yumba wala kuyumbishwa,asiye tetereka wala Kutetereshwa .

Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia kuwa na Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kitini . Huyu ni Amiri jeshi Mkuu aliyekamilika . Yupo mbele ya muda kwa mambo mengi sana na maono yake ni ya kinabii.View attachment 3517228

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu jamaa ni mmoja wa wale watekaji, wabakaji na wauaji. Huyu Mwashambwa ni mgonjwa wa akili pia, hivyo watanzania mpuuzeni.
 
Back
Top Bottom