PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

We ni taila uliekamilika..πŸ‰πŸ‰πŸ‰
 
Kazana kusifu ndugu
Ndio mradi wako ulipo
Mwanaume kutwa kumsifia mwanamke
Aibu yako
 
WEWE NI CHAWA AMBAYE HATA WATU WAKO WA KALIBU WANAKUPUUZA,YAANI SAWA NA YULE MTU AMBAYE ANAKUSIFIA MPAKA UNAONA ANAKUHARIBIA SASA
 
Safi kabisa. Kwani wao nani ?
 
Naandika hapa huku nikijisikia vibaya mno - HIVI KWA NINI MNAKOMENTI NYUZI ZA HUYU JAMAAA?
 
Debe lake linamngoja Ulaya, na si muda mrefu,
 
Kama wazalendo ndo wapo hivyo tutafute definition mpya ya uzalendo kwa reference ya chawa aisee
 
Uzalendo wa kuua Watanganyika zaidi ya 20,000 kisha kuwafukia kwenye makaburi ya halaiki kuficha ushahidi? Wewe luka ukapimwe akili na marinda pia unaandika ujinga mwingi sana humu.
 
Aliye karibu na huyu jamaa ampe ushauri nasaha hizi ni dalili za kuchanganyikiwa.

Moja ya dalili ni kupenda sana kitu, unakuta mtu anapenda sana kuonekana msafi au kupiga pasi nguo kila inapojikunja hata akiwa kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…