PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

😂😂 mabeberu hawa ambao mnahangaika kwenda kuwaomba upatanisho

Nigga pls, mabeberu aka watu weupe si wa mchezo
Else waziri wa mambo ya nje asinge hangaika kias hiko
 
😂😂 mabeberu hawa ambao mnahangaika kwenda kuwaomba upatanisho

Nigga pls, mabeberu aka watu weupe si wa mchezo
Else waziri wa mambo ya nje asinge hangaika kias hiko
Tanzania ni Nchi huru na hatupangiwi cha kufanya.
 
Mimi alivyosema Who are you nilimkubali Sana .

Kwakuwa hawa wazungu wanaziona nchi za Africa Kama hazijiwezi wakati misaada yao ni Condom na vyandarua
Ni kweli hatutaki kutawaliwa na wazungu ila sasa hata kodi hatujui kukusanya na zinaibiwa nyingi zaidi sasa unasemaje usiwategemee???? lakini pia katika hili kosa lao ni kuwambia msiuane??? kuna haja ya kutekana kweli??? kuuana katika dunia ya leo ni ujinga mkiubwa sana....
 
Hafu anawatuma Mabalozi kwenda kuomba msamaha kwa mabeberu! Rais muoga sana. Waoga hutumia nguvu kubwa kubaki madarakani
 
harakati nyingine za kutafuta ugali hazifai bora uwe mwizi kibaka au kwapu kwapu kuliko kujidhalilisha namna hii. Siku wakikwambia inama tutakupa hela ya kula utakataa?
 
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo. Amani ya Bwana iwe pamoja nawe na Mungu akusamehe sana na kukufanya kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani kwa watu wote.
Ila kweli wewe lijamaa ni mbumbu wewe. Hivi huoni aibu kuleta ujinga wako wa kusifiasifia Hapa?
 
Wewe jamaa unatia kinyaa kinoma. Nahisi kutapika kwa huu ujinga umeandika hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…