evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,333
muhind mbona hata kale kako ni kazuri piaMtoto mzuriiiiii
Hata wewe ni matunda ya kodiu zetuDada wa taifa alisema ni matunda ya kodi zetu.
Ila ni kazuri sana.
Ka shombe shombe. Kwenye sifa tunasifia na wenginemuhind mbona hata kale kako ni kazuri pia
Hazai=hazalishi?Si walisema rc hazai, imekuaje tena anamtoto
mkuu ulimpatia mkeo akamshindwa?taarifa za hiyo familia tunazo, mtoto ana 'babake' yeye jogoo linapanda mtungi lakini halishuki!
AiseeKa shombe shombe. Kwenye sifa tunasifia na wengine
Umekosa hoja,chadema wote? Una hakika? Hamia tu chadema mkuu itwege.Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .
Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake[emoji120]
Wamanisha nini?[emoji848]Mungu hafanyi kikao
Ni yule msukuma ambaye ni Mbunge wa Geita nina imani akiona huyo Mtoto lazima atakataa kuwa ni wa Bashite na kudai DNA ipite hapo kuthibitisha Ukweli.Yule mbunge aliyeuliza swali bungeni kuhusu mtoto, naona atayapata majibu leo.