Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .

Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Umekosa hoja,chadema wote? Una hakika? Hamia tu chadema mkuu itwege.
 
Yule mbunge aliyeuliza swali bungeni kuhusu mtoto, naona atayapata majibu leo.
Ni yule msukuma ambaye ni Mbunge wa Geita nina imani akiona huyo Mtoto lazima atakataa kuwa ni wa Bashite na kudai DNA ipite hapo kuthibitisha Ukweli.
 
Back
Top Bottom