UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Hengera sana familia ya RC Makonda.Ila kwa uelewa wangu kiroho ,hii kuweka sura za watoto wadogo mitandaoni bila ridhaa zao si kitu kizuri sana.Kuna watu wana husuda au awapendi mafanikio ya mtu hata kidogo so hata ukiwa ni mtu wa ibada na uamini hivi vitu vya ulimwengu wa kiroho ,narudia si vizuri kutoa picha za watoto wadogo mitandaoni.Mungu amlinde na majicho mabaya na malaika wamzunguke 24/7 hrs.Huyu ni malaika.Ila Mungu anakusudi lake kwa kila kitu ,kiwe kibaya au kizuri.