DNA ndiyo itathibitishaSi walisema rc hazai, imekuaje tena anamtoto
Umekosa hoja,chadema wote? Una hakika? Hamia tu chadema mkuu itwege.
mtoto mzuri lakini anabahati mbaya kuzaliwa na baba mfoji vyeti!.
Wamanisha nini?[emoji848]
Hazalishi maana yake nn? Sifa ya "mnyama" ni kuzaa.Hazai=hazalishi?
Maneno yako yamenipa nguvu ya kusonga mbele zaidi. Ubarikiwe!Akiamua kufanya lolote anafanya kwa yeyote, wakati wowote bila kujali chochote. Hahitaji muhtasari au maoni ya watu ili wapitishe na kuhalalisha anachotaka kukifanya na anakifanya kama atakavyo yeye.
Mtoto kwa hisani ya watu wa China!Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .
Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
WONDERFULLY BEAULTIFUL! Jamani Mungu huyu! Ana mamtaizo sana, ila yale ambayo ni mazuri tu!Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏
Unamaanisha Diamond?Waja munamambo.Mbona kafanana na DOMO
Kodi zetuMkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .
Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Hebu tunyooshe lugha basi. Anaeadhimisha miaka saba ya ndoa yake ni (binadamu) Paul Makonda na sio (mamlaka) Mkuu wa Mkoa. NB. Nadhani hata ndoa yenyewe ilifungwa akiwa bado ni Mkuu wa WilayaMkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake[emoji120]