Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Mtoto wa bao la Punyeto, cjui mchina, au mzungu, au mhindi, au black .. atajua mwenyewe..

Point ni mtoto wa punyeto..!
 
Na Ben Saanane ana wazazi wanamuhitaji!
1540377303050.png
 
Umekosa hoja,chadema wote? Una hakika? Hamia tu chadema mkuu itwege.

Kwani wapinzani wa Bashite ni chadema pekee? Acha kukariri hivyo, ndani ya CCM kuna wapinzani wengi wa Bashite kuliko chadema
 
Wamanisha nini?[emoji848]

Akiamua kufanya lolote anafanya kwa yeyote, wakati wowote bila kujali chochote. Hahitaji muhtasari au maoni ya watu ili wapitishe na kuhalalisha anachotaka kukifanya na anakifanya kama atakavyo yeye.
 
Akiamua kufanya lolote anafanya kwa yeyote, wakati wowote bila kujali chochote. Hahitaji muhtasari au maoni ya watu ili wapitishe na kuhalalisha anachotaka kukifanya na anakifanya kama atakavyo yeye.
Maneno yako yamenipa nguvu ya kusonga mbele zaidi. Ubarikiwe!
 
kuna wadau walikuwa wanasema humu kuwa mh kaharibikiwa uwezo hana.sasa sijui wanasemaje.
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .

Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Mtoto kwa hisani ya watu wa China!
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏

WONDERFULLY BEAULTIFUL! Jamani Mungu huyu! Ana mamtaizo sana, ila yale ambayo ni mazuri tu!
 
Maendeleo Hayana Chama
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .

Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Kodi zetu
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake[emoji120]

Hebu tunyooshe lugha basi. Anaeadhimisha miaka saba ya ndoa yake ni (binadamu) Paul Makonda na sio (mamlaka) Mkuu wa Mkoa. NB. Nadhani hata ndoa yenyewe ilifungwa akiwa bado ni Mkuu wa Wilaya
 
Back
Top Bottom