Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Hengera sana familia ya RC Makonda.Ila kwa uelewa wangu kiroho ,hii kuweka sura za watoto wadogo mitandaoni bila ridhaa zao si kitu kizuri sana.Kuna watu wana husuda au awapendi mafanikio ya mtu hata kidogo so hata ukiwa ni mtu wa ibada na uamini hivi vitu vya ulimwengu wa kiroho ,narudia si vizuri kutoa picha za watoto wadogo mitandaoni.Mungu amlinde na majicho mabaya na malaika wamzunguke 24/7 hrs.Huyu ni malaika.Ila Mungu anakusudi lake kwa kila kitu ,kiwe kibaya au kizuri.
 
Hebu tunyooshe lugha basi. Anaeadhimisha miaka saba ya ndoa yake ni (binadamu) Paul Makonda na sio (mamlaka) Mkuu wa Mkoa. NB. Nadhani hata ndoa yenyewe ilifungwa akiwa bado ni Mkuu wa Wilaya
alikua mkuu wa wilaya tangu miaka saba iliyopita,maana ndoa ina miaka 7
 
Insta wanasema kamefanana na rayvanny
 
Ukweli mchungu
 
"Mtoto katoka Mwarabu. Swali nilikosa jibuu.."

"Akasema we hujuiii, mtoto kafata kwa babuuu.."


Kwani Mange anasemaje kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…