Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

mtoto ni malaika sidhani kama kuna.mtoto mbaya
 
Baba keagan ni kiongozi wa mkoa was Dar! Napenda sana ile midahalo yenye majibu ya papo kwa papo! Nafurahishwa sana na namna anavyoongoza jiji La Dar!!
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii.

Kitendo cha kupost mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii kimetafasiriwa ni kama kuwananga wote waliokuwa wakimtusi kwamba hawezi kuzalisha.
Ikumbukwe kuwa wakati Paul Makonda anapitia kipindi kigumu cha kutopata mtoto kwa miaka 7 ndani ya ndoa kuna kundi la watu likiongozwa na Gwajima, Mange Kimambi ,wauza madawa ya kulevya na Chadema kwa ujumla walikuwa kifua mbele wakifurahia hali hiyo ya Makonda kukosa mtoto !
Yani badala ya kumuombea wao ndiyo wakawa wanashangilia akome kabisa asiyezaa huyu !! .

Mungu si athumani leo hicho kikundi cha watu ndiyo wanapata wakati mgumu na aibu ya kulike picha za mtoto wa Makonda mitandaoni.
Watu wengine bana sijui umekula maharahe ya wapi! anaezaa ni muke wake tuu ndo anapaswa kupewa hongela.
Madume tunatungishaga mimba tu, kama majogoo! hatulei vifarananga.kama jogoo asivyoweza kulea vifaranga. akijiroga kuvilea tu vitakufa vyoote.
kusema mwanaume anazaa ni kejeli! manake hana kizalio! ana kiwekeo, au kimpenyesho tu. yamkini mchungaji Gwajima alikuwa sahihi, kusema hazai ni kweli hazai, labda huko kwenu umakondeni.

sasa wewe umekuja na agenda nyingine ya kizushi.
 
Katoto kazuri ila kapata baba wa ajabu
"Baba wa ajabu kwako ila ni baba wa maana kwake" Daughter zingatia hii kanuni katika maisha yako hapa duniani utapata kuishi vyema sana na kwa miaka mingi
 
"Baba wa ajabu kwako ila ni baba wa maana kwake" Daughter zingatia hii kanuni katika maisha yako hapa duniani utapata kuishi vyema sana na kwa miaka mingi
Sikatai ni wa maana kwake ipo wazi sijabisha. Huyo mtu ni wa ajabu na dunia nzima inajua lazima niseme ndo maoni yangu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏

tukaombee haka katoto, maana Biblia inasema " nitawapatiliza uovu wa baba zenu mpaka kizazi cha nne"
sasa damu za watu wengi mikononi mwa Bashite , sijui zitaondolewaje.
 
Ý
maisha ya mtandaoni kwa kiongozi ni aibu sana
yule bado kijana mdogo. Amemzalisha mudada ya watu mutoto ya kwanza akiwa madarakani muache ajidai ringa bana ringa km ni wako muwacheni atulize machungu na vichambo vya kiswahili
 
Back
Top Bottom