Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Picha: Huyu ndo mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda..!

Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏

Kuna baadhi ya posts ni zenye kuudhi,hii ni mojawapo.Ila kwa kuwa sina uwezo wa kupanga nini kirushwe humu,basi tu.
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏

Mtoto mdogo anatakiwa kulindwa dhidi ya unyanyasaji.Kutuma picha za mtoto ni unyanyasaji bila kujali ni wa nani.Wahusika washauriwe
 
Huenda ni kweli aisee huo mdomo wa juu kama wa jamaa kwa wale tulio karibu yake tunaujua
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake[emoji120]

Mungu amjalie hekima na busara afanane na baba yake, sio midomo tu hata fikra na jitiada.

Hongera mhe!!
 
Hongera kwa DAB na mkewe.

Mtoto huwa ni baraka siku zote.
 
Back
Top Bottom