Kuna baadhi ya posts ni zenye kuudhi,hii ni mojawapo.Ila kwa kuwa sina uwezo wa kupanga nini kirushwe humu,basi tu.Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda leo 24/10 anaazimisha miaka 7 ya ndoa yake ,hili limeenda sambamba na kuonyesha sura ya mtoto wake kwenye mitandao ya kijamii. Mungu ampe afya njema mtoto huyu pamoja na wazazi wake🙏