Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera...



Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army Radio reported on Sunday morning.

After images of stripped terrorists in Jabalya and Khan Yunis circulated on social media, reports emerged that the IDF is "identifying changes in Hamas leadership's conduct."
 
wamechukua uamuzi sahihi, hawapiganii uislam wala palestina bali maslahi ya viongozi wa hamas, israel iko tayari kuishi kwa amani na wapalestina, ni hamas wasiotaka kuishi na waisrael,
leo vijana wakipalestina wanauawa, ila viongozi wakuu wako qatar wanakula bata, kiongozi wao aliye gaza nae kakimbia mapigano badala ya kuwa mstari wa mbele, vijana wenye akili wameona hilo sasa wataokoa ,maisha yao ni kupata mwanzo mpya.
kama kweli ni heshima kuwa "shaheed" hao viongozi wa HAMAS wangekuwa mstari wa mbele vitani, ili wafie kile wanachokiamini, tena kwa kuuwawa kwao "frontline" kungeongeza hari ya vijana wao kupambana maana umepambana mpaka mwisho ila kukimbia na kuokoa uhai wako, ni ushahidi tosha mnawadanganya vijana wa hamas na kuwatumia kwa maslahi yenu.
#FREE GAZA FROM HAMAS, kama sio hamas ideology, gazans wangeishi kwa amani na waisrael kama wanavyoishi wa misri kwa sasa.
 

Wewe ni mgeni na propaganda za vita?





Source: BBC
 
inahuzunisha sana jeshi lenye sifa kede kede kwa ubora linapika propaganda...WHATA FAILURE!
Mkuu je hamas na waarabu hawapiki propaganda na picha za kimkakati ili waonewe huruma..
Si walikua wanashangilia October 07 na kutembeza mateka mtaani???
Now wanalilia cease fire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…