Picha ilipigwa 1895 Congo Raia wa Ubelgiji akivushwa mto na wapagazi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1637019346599.png
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
 
Hoja ya kupenda au kupendwa ndo msingi wa tatizo.. kwanini utake kupendwa? Tatizo ni kwamba hatupigi kazi, na hata pale tunapopiga kazi tunachokipata hatukitumii ipasavyo.. Lkn pia sisi ni waongo waongo.

Mfano; kijijini kwangu kote tunaamini mradi wa Stigler's tunaulipa kwa pesa ya kodi yetu na kubana mishahara ya wafanyakazi, kumbe tumeenda kukopa huko nje.. Hapo mzungu anahusikaje?
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...

Tatizo sio wao ni sisi hivi mzungu mmoja weusi 6 wanashindwa hata kumpa kifir…o kweli?. Mfano kaja mjeda kitaa na smg halafu alete ungese mama…e zake.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Huo ukatili waliofanyiwa Congo, usipokwenda kazini mtoto wako anakatwa mguu mbele ya macho yako. Uliwatia woga na kuwafanya waamini mzungu ni superior to them.

Kumbuka walikuja na bunduki.
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Hivi tatizo no Wazungu au hulka ya Binadamu anapotafuta Mamalaka na Nguvu ...kiuchumi,kisiasa na hata kijamii!
Sidhani Kama huwa tunatafakari vema ktk hili!
Hivi Kuna tofauti gani na hii leo!
Kama kunaa mtu analipwa Kila mwezi Milioni 12, na Kuna watoto wanakaa chini ili wasome!
Au mtu anaendeshwa kwenye Gari la 200+ M ,ana3nda kuzindua tundu la choo lililojengwa na JICA,COICA ,USAID au World Vision!?
Kama Kuna watu wanalipwa mishahara Laki moja ,Hulu posho ya Kujikimu ya Afisa was Serikali no 120,000 kkwa siku au watu wanalipana Extra Duty allowances laki 4 kwa mwezi!
Mimi sioni tofauti ya Ukoloni wa kale na huu wa Sasa!
 
Hata sisi leo bado tupo wapumbavu tu tena kuliko hao babu zetu maana bado tunawabeba wazungu kuliko hata babu zetu walivyowabeba.Tena sisi tukijidai eti tumesoma.

Kabisa.
 
Nini kimeendelea hapa Afrika baada ya mzungu kuondoka na kubakia waafrika wenyewe?

Embu fikiria tu, kwa sasa kuna mtawala mmoja wa kike hapa Afrika (chief Hangaya) anabebwa na kuzungushwa kwenye msafara wa zaidi ya magari 70 ya kifahari huku akipepewa na helcopter mbili angani, barabara za miji zikifungwa kwa masaa kadhaa ili kumpisha apite. Yote hayo yanafanyika kwa gharama za kodi za walalahoi wanazolipa baada ya kupindishwa migongo kwa kazi nzito, malipo duni na mzigo mzito wa kodi na utitiri wa tozo.

Bora huyo mkoloni kwenye picha kuliko mtawala wa sasa wa Afrika.
 
Wakipatikana viongozi wenye maono mnawauwa na kuwapinga kijuha,acheni tuteseke tu
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Hapa ndipo ninapowadharau waafrika wenzangu na kujidharau mwenyewe. Je, sisi tumekazwa kuwatendea hivyo? Au kama tumeshindwa kuwatendea au tuna rorho nzuri sana, je, kwa nini tusiwapuuze na tufanye yetu ili kujiletea maendeleo? Mimi nadhani watu kama wewe mnajiliwaza tu au hamtaki ku-face reality i.e. mtu mweusi upeo wake ndipo ulipoishia. Kwa mfano tangu Samia apate urais, matendo na kauli yake kila siku ni kuwa ''sisi wenyewe hatuwezi kuijenga nchi yetu bila kualika wageni''. Rias amekuwa kiguu na njia eti anataka kufungua nchi. Je, wakija na kuanza kujitwalia mali nani alaumiwe?
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Juha ni wewe. Sio wazungu wote ni wabaya.
 
Back
Top Bottom