Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wasichokijua ni kuwa hata harakati za uhuru wa Afrika zilikuwa na mchango wa miongoni mwa hao hao Wazungu.Juha ni wewe. Sio wazungu wote ni wabaya.
Sasa nyinyi vitukuu mulio na akili nyingi mbona bado munatawaliwa?Mababu zetu walikua wapumbavu sana
Yule mfalme katili Leopold aliifanya Congo mali yake binafsi kabla ya kuikabidhii baadae kwa serikali ya Ubelgiji.Huo ukatili waliofanyiwa Congo, usipokwenda kazini mtoto wako anakatwa mguu mbele ya macho yako. Uliwatia woga na kuwafanya waamini mzungu ni superior to them.
Kumbuka walikuja na bunduki.
Hivi tatizo no Wazungu au hulka ya Binadamu anapotafuta Mamalaka na Nguvu ...kiuchumi,kisiasa na hata kijamii!
Sidhani Kama huwa tunatafakari vema ktk hili!
Hivi Kuna tofauti gani na hii leo!
Kama kunaa mtu analipwa Kila mwezi Milioni 12, na Kuna watoto wanakaa chini ili wasome!
Au mtu anaendeshwa kwenye Gari la 200+ M ,ana3nda kuzindua tundu la choo lililojengwa na JICA,COICA ,USAID au World Vision!?
Kama Kuna watu wanalipwa mishahara Laki moja ,Hulu posho ya Kujikimu ya Afisa was Serikali no 120,000 kkwa siku au watu wanalipana Extra Duty allowances laki 4 kwa mwezi!
Mimi sioni tofauti ya Ukoloni wa kale na huu wa Sasa!
Akili zetu zipo duni sana utakuta huyo bebelu ana bunduki Aina ya gobole inatumia risasi moja tu,lakini akili za kusema wamzamishe kwenye maji hawana,Sasa hapo unamlaumu bebelu kwa sababu gani?Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Amin carried by British pigs.
Mkuu mababu tu?Mababu zetu walikua wapumbavu sana
Wakipatikana viongozi wenye maono mnawauwa na kuwapinga kijuha,acheni tuteseke tu
Kizazi chetu pamoja na kusoma historia na kupata muda wa kuichambua lakini bado hakiwezi kufanya maamuzi ya kujisimamia.Mababu zetu walikua wapumbavu sana
utakuta hawa jamaa kuipata hii post ya kumbeba mzungu ni kujipigia debe kweli kweli - kumbeba mzungu..
kwanza kukopa sio dhambiHuyo mwenye maono naye msafara wake ulikuwa na zaidi ya magari 100 na alikuwa anadanganya watu kuwa anajenga reli na bwawa la umeme kwa vyanzo vya ndani kumbe anakopa matrilioni nje.
Aliwadanganya Watanzania kuwa anajenga kwa pesa za ndani kumbe anakopa na ameitia nchi kwenye madeni makubwa bila sababu za msingi.kwanza kukopa sio dhambi
Tofautisha mkopo na msaada mkopo ni pesa yako in advance na inachajiwa riba hivyo mkopeshaji anafaidika pia .
Magufuli hakupenda vimisaada vya mashariti.pia aliitumia barabara misaada kwa miradi ya kimkakati sio kura bata na kazi zake zilionekana kwa jamii nzima.
Mama yako anatembeza bakuri kama enzi za awamu ya nne
unahangaika tu huko kwa mzungu mbali!! Jiwe! mahiti nzee! inayo tembea imewachakaza nchi nzima mpaka na jeshi waliipata weeee!! Mpaka mkaogopa kutangaza, amekufa!! Mpaka ilipoanza kutoa harufu ndo mkatangaza! tena kwa mashaka tupu!! ile njemba iliwaweza!Tatizo sio wao ni sisi hivi mzungu mmoja weusi 6 wanashindwa hata kumpa kifir…o kweli?. Mfano kaja mjeda kitaa na smg halafu alete ungese mama…e zake.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]