Hivi tatizo no Wazungu au hulka ya Binadamu anapotafuta Mamalaka na Nguvu ...kiuchumi,kisiasa na hata kijamii!
Sidhani Kama huwa tunatafakari vema ktk hili!
Hivi Kuna tofauti gani na hii leo!
Kama kunaa mtu analipwa Kila mwezi Milioni 12, na Kuna watoto wanakaa chini ili wasome!
Au mtu anaendeshwa kwenye Gari la 200+ M ,ana3nda kuzindua tundu la choo lililojengwa na JICA,COICA ,USAID au World Vision!?
Kama Kuna watu wanalipwa mishahara Laki moja ,Hulu posho ya Kujikimu ya Afisa was Serikali no 120,000 kkwa siku au watu wanalipana Extra Duty allowances laki 4 kwa mwezi!
Mimi sioni tofauti ya Ukoloni wa kale na huu wa Sasa!