Picha ilipigwa 1895 Congo Raia wa Ubelgiji akivushwa mto na wapagazi

Picha ilipigwa 1895 Congo Raia wa Ubelgiji akivushwa mto na wapagazi

Wakipatikana viongozi wenye maono mnawauwa na kuwapinga kijuha,acheni tuteseke tu
Moja ya vitu vilifanya Magufuli aonekane mbovu kabisa ni kutokuwa na maono. Ni kweli alikuwa anajiamini na alikuwa anaamini sisi wenyewe ndiyo tutajiletea maendeleo, lakini hakuwa na maono. Alijaa ubinafsi, kupenda kuabudiwa na ukosefu wa maono.
 
Senseless
 
Hivi tatizo no Wazungu au hulka ya Binadamu anapotafuta Mamalaka na Nguvu ...kiuchumi,kisiasa na hata kijamii!
Sidhani Kama huwa tunatafakari vema ktk hili!
Hivi Kuna tofauti gani na hii leo!
Kama kunaa mtu analipwa Kila mwezi Milioni 12, na Kuna watoto wanakaa chini ili wasome!
Au mtu anaendeshwa kwenye Gari la 200+ M ,ana3nda kuzindua tundu la choo lililojengwa na JICA,COICA ,USAID au World Vision!?
Kama Kuna watu wanalipwa mishahara Laki moja ,Hulu posho ya Kujikimu ya Afisa was Serikali no 120,000 kkwa siku au watu wanalipana Extra Duty allowances laki 4 kwa mwezi!
Mimi sioni tofauti ya Ukoloni wa kale na huu wa Sasa!
Inasikitisha kwa kweli. Halafu kutwa wanatuimbia tupende amani na utulivu kumbe ili wazidi kula mali za taifa kiulaini
 
1637112840675.png
1637112840675.png
 
Hoja ya kupenda au kupendwa ndo msingi wa tatizo.. kwanini utake kupendwa? Tatizo ni kwamba hatupigi kazi, na hata pale tunapopiga kazi tunachokipata hatukitumii ipasavyo.. Lkn pia sisi ni waongo waongo.

Mfano; kijijini kwangu kote tunaamini mradi wa Stigler's tunaulipa kwa pesa ya kodi yetu na kubana mishahara ya wafanyakazi, kumbe tumeenda kukopa huko nje.. Hapo mzungu anahusikaje?
Wewe na mimi tunatoka kijiji kimoja mbona unayoyasema sijayasikia! Sema tu hiyo ni hisia yako, lakini kuongopea kijiji chetu acha.
 
Wewe na mimi tunatoka kijiji kimoja mbona unayoyasema sijayasikia! Sema tu hiyo ni hisia yako, lakini kuongopea kijiji chetu acha.
Samahani, nilisahau. Kumbe ni Serikali ya Chadema ndo haikuongeza mishahara kwasababu pesa zilielekezwa kwa Stigler's; na pia haikukopa kabisa kwasababu mikopo ina masharti magumu sana---

In a serious note, sijui tunamlalamikia nini Mzungu kama fikra zetu ndo za mfano wako--
Kama kazi yako ni kutetea kila kitu ili uweze kula, acha hiyo kazi kijana/mzee--
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Bora Juha ana akili hata ya kumsindikiza choon...ZUZU ndio balaa kbs
 
Kanye West anakwambia waafrica walipenda wenyewe kutawaliwa.
Inawezekana hili maana kwa jinsi mzungu akija africa mtu anaweza kumgawia mzungu ht mke alale nae..hili lilitokea kenya.
Inawezekana babu zetu walipenda hilo hata
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Labda tuliumbwa kwuatumikia, yani haiwezekani tushindwe kujiongeza. Binadamu anatawala wanyama wengine kwasababu ana akili kuliko wao. Je, hawa wanatutawala kwasababu wana akili kuliko sisi?
 
Inawezekana hili maana kwa jinsi mzungu akija africa mtu anaweza kumgawia mzungu ht mke alale nae..hili lilitokea kenya.
Inawezekana babu zetu walipenda hilo hata
Kabisa mkuu, yani mtu anachanganyikiwa kabisa
 
Mababu zetu walikua wapumbavu sana
Kwani hao babu zenu waliobeba mzungu wana tofauti gani na dereva wa waziri ,wote wote ni madereva tu.kumbuka hao wabebaji walikuwa wanalipwa
 
Acha tu, na watahakikisha tunaendelea kuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia, wanajifanya wanatupenda, wanataka tuendelee, uwongo mtupu, wao wawe matajiri lazima wanyonye binadamu wenzao, kwa kila aina yan njia, anayekwambia mzungu anakupenda na ukaamini ujuwe wewe JUHA...
Acha kuwaonea ndugu, kwa sasa tunabebana waswahili kwa waswahili kwa kuangalia mfuko wako una mini!?
 
Back
Top Bottom