Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano.
Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake.
Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata..
Lakini kwanini jamaa hanivuti kwa nguvu?
Mwanaume anafikiri, nipo kwenye maumivu makali, bado namvuta kwa kadri ya uwezo wangu,
Kwanini hajitahidi kujivuta juu na yeye?
Mwanamke anahisi mwanamme wake anatoa msaada kama hataki vile/ amelazimishwa.
Mwanaume anadhani, mwanamke wake anadeka, anajiendekeza na hataki kusaidiwa.
Somo tunalojifunza hapa, huwezi kuona presha anayopitia mwenzio, na yeye hawezi kuona maumivu yako..
Mwanamke anamlaumu mwanaume yupo bize hampi muda, kumbe anabanwa na kazi zake..
Mwanaume anamlaumu mwanamke amepoteza upendo kumbe ana madeni ya vikoba vyake..
Mwanamke asipopata kwa wakati alichokiomba anajihisi amenyimwa ama hajaliwi tena.
Unapoambiwa moyo wamtu kicha unapaswa kuelewa kama mtu alie komaa akili.
Kwenye maisha tunayoishi kila mmoja anajaribu kuficha siri yamachungu yanayomuumiza moyo na akili yake ,kama watu wangefunguliwa mioyo yao ata wale waliokwisha tengana Wangeoneana huruma maana kipo kitu ambacho hakikuwekwa wazi.
Jifunze kuwa nauvumilivu pasipo kua na lawama .
Kila mmoja wetu anajambo linalomuumiza, haswaa kwamaisha yasasa tunayoishi.
Chakushangaza tubebakia kulaumiana na kila mmoja humuona mwenzake nimkosefu kila siku, hakuna anaweza kujiuliza kwanini makosa yapo?
Kwakweli inauzunisha sana na kama kipo kitu umejifunza , basi jifunze kuishi maisha yasio na lawama kwa wengine.