Picha inaongea Mengi, inasikitisha mno

Picha hii ni ya Kuchongwa. Ni feki tu na inatumiwa kuleta hisia.

Eti haya nayo ni Maudhui. JF nayo.
Inawezeka ni ya mchongo kweli ila ina ujumbe muhimu sana.

Tafsiri yangu: Mzazi maskini amejisulubu ili kumsomesha kijana wao kwa matumaini apate ajira aje kuwakomboa...matokeo yake kijana amehitimu na ajira hakuna amerudi kwenye umasikini wao!

Tafsiri ziko nyingi.
 
Picha hii ni ya Kuchongwa. Ni feki tu na inatumiwa kuleta hisia.

Eti haya nayo ni Maudhui. JF nayo.
To me, najali kinachosemwa na picha hii, iwe ya kuchongwa au la. Fikiria;
1. Kuna wangapi wamepambaniwa na watu kama hao wanaomzunguka lakini mwisho wa siku wamewaacha ..??

2. Kuna wangapi wanaishi maisha feki huko mijini lakini wanakotoka kupo hivyo.??

Tafakari na uchukue hatua..!!!
 
Unaongea kwa hisia. Punguza jazba.
 
Wewe umechukua hatua gani?
Tatizo la kidunia ila nyie mnalifanya la Kiafrika peke yake.

Mwisho wa siku ni kuja kuleta matusi na udhalilishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…