Picha inaongea Mengi, inasikitisha mno

Picha inaongea Mengi, inasikitisha mno

Kwa utafiti gani Ulioufanya?

👀
😂😂😂
Unalazimisha.
Kwa maandishi yako ya kubishana na kila anayeona cha kujifunza kwenye picha husika, kisa unahisi ni ya mchongo..!!! Sijui nani kakuambia michongo haina mafunzo..!! Hivi hujawahi jifunza kitu au kupata ujumbe kwenye vikatuni?
 
Wote mnaobisha na kuikataa picha hii mna athari za extended high school kilichoongelewa na Generali ulimwengu.

Mshukuru tu darasa la saba hawana utash katika kuona muda mliopotezea huko ulikotoka, na maprofesa wenu wenye udumavu wa kifkra.

Lazma mjue degree yako haikuzuii kuuza mitumba, kuuza genge, kulima bustani na ufugaji, wenginwenu mnanikera sana.

Wkt flan miaka ilee tunajiunga kwa kufanya matriculation udsm wengine tulipata hasira mno na kuchukia chuo maana ilikuwa ni biashara. Kama sikosei hela ilikuwa ngumu lkn matriculation tsh20,000
 
Unapotumia picha feki au iliyochongwa kuvutia hisia za watu, tayari maudhui hayo yanakuwa ni Misinformation- Ni feki.

Ninaposema Eti haya nayo ni maudhui JF? namaanisha hivyo tu, kwamba sasa JF kuna content za Misinformation na Disin formation.

Wacheni Kupanic
 
TATIZO LA AKILI NI KUBWA NCHI, naukumbuke kwa mujibu wa wataalamu wetu kwenye kila watanzania wanne jua mmoja kadata. Je jf kuna watanzania?
 
Wote mnaobisha na kuikataa picha hii mna athari za extended high school kilichoongelewa na Generali ulimwengu.

Mshukuru tu darasa la saba hawana utash katika kuona muda mliopotezea huko ulikotoka, na maprofesa wenu wenye udumavu wa kifkra.

Lazma mjue degree yako haikuzuii kuuza mitumba, kuuza genge, kulima bustani na ufugaji, wenginwenu mnanikera sana.

Wkt flan miaka ilee tunajiunga kwa kufanya matriculation udsm wengine tulipata hasira mno na kuchukia chuo maana ilikuwa ni biashara. Kama sikosei hela ilikuwa ngumu lkn matriculation tsh20,000
CC SYLLOGIST!
 
Unapotumia picha feki au iliyochongwa kuvutia hisia za watu, tayari maudhui hayo yanakuwa ni Misinformation- Ni feki.

Ninaposema Eti haya nayo ni maudhui JF? namaanisha hivyo tu, kwamba sasa JF kuna content za Misinformation na Disin formation.

Wacheni Kupanic
Aisee ww ni mpumbavu wa mwisho..
 
Back
Top Bottom