Picha inaongea Mengi, inasikitisha mno

Picha inaongea Mengi, inasikitisha mno

bahati nzuri kwetu sio maskini kiasi hicho
Watu wanataka justification imekuaje mzee mbona kwenye sio hivi na umeitweza digrii ya mtu hapo .
NB : maskini tunazaa sana, kwa Imani ya watoto walikuwa watakusaidia.. Hutu kaleta buku yule dagaa ili ule pensheni. Mbaya zaidi watoto haruwapambanii kufikia malengo yao
 
hii mada ni ngumu sana haina consensus😂
 
Tunaenda shule kwa ajili ya kupata ujuzi ili utusaidie kutatua matatizo yetu yanayotuzunguka, kijana umeenda shule umemaliza hujaajiriwa tumia ujuzi wako uliosomea shuleni kutatua matatizo yako ikiwemo tatizo la kiuchumi!!!!
 
Back
Top Bottom