Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Una akili za kuvukia barabara tu..!chadema wanataka kuligawa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili za kuvukia barabara tu..!chadema wanataka kuligawa taifa
TEC ina taarifa zoote za kitakachofanyika baada ya kukamatwa na Dp world, kiufupi mfupa umenesa kwenye jino lazima autume tu.Hayo ameyasema Rais mstaafu Jakaya mrisho kikwete
Na kweli sio vizuri kuchanganya dini na siasaView attachment 2723188View attachment 2723189
nitake radhiUna akili za kuvukia barabara tu..!
Kwa R.p Papa Italy ilikuwa, akili za kuambiwa changanya na zako.Hayo ameyasema Rais mstaafu Jakaya mrisho kikwete
Na kweli sio vizuri kuchanganya dini na siasaView attachment 2723188View attachment 2723189
Kwa post yako ya kwamba CDM wanataka kuligawa taifa, HAPANA, WALA SIFANYI HIVYO UTAKAVYOTAKA WEWE..!! LABDA USEME CDM WANATAKA KULIGAWA TAIFA KWA NAMNA GANI, na sababu utakazozitoa nikubaliane nazo..!! Vinginevyo, ni yale yale ya watuhumiwa wa uhaini kupewa dhamana wakati tuhuma za uhaini hazina dhamana.nitake radhi
Aah aah hili nlishalisema.Hao waarabu wenyewe wamekuja kidini dini,
Kwanini wavae makanzu yao? Suti hawazijui?
haya mambo huyaelewi ndugu sisi tunajua na tukikwambia wacha kubishaKwa post yako ya kwamba CDM wanataka kuligawa taifa, HAPANA, WALA SIFANYI HIVYO UTAKAVYOTAKA WEWE..!! LABDA USEME CDM WANATAKA KULIGAWA TAIFA KWA NAMNA GANI, na sababu utakazozitoa nikubaliane nazo..!! Vinginevyo, ni yale yale ya watuhumiwa wa uhaini kupewa dhamana wakati tuhuma za uhaini hazina dhamana.
Umelewa pombe gani? Pumbavu, chadema inaingiaje hapo?chadema wanataka kuligawa taifa
CHADEMA Ndiyo wameuza nchi kwa waume zao Dubai?chadema wanataka kuligawa taifa
nyie hamjui tuh.mambo chadema wanayoyafanya ni hatari sana kwa uchumi na usalama wa taifaWatu gani?
Fafanua siyo kila mtu anawaza kama unavyowaza wewe.
Tafuta kitanda ulale kesho uamkie unakotafuta cent mbili tatu za kusukumia maisha siku ziende wewe huna unalojua.nyie hamjui tuh.mambo chadema wanayoyafanya ni hatari sana kwa uchumi na usalama wa taifa
ndugu ukija kugundua vituko vya hao jamaa hutoamini macho yakoTafuta kitanda ulale kesho uamkie unakotafuta cent mbili tatu za kusukumia maisha siku ziende wewe huna unalojua.