Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

Hao waarabu wenyewe wamekuja kidini dini,
Kwanini wafunge mashuka ya kimasai kichwani na wavae makanzu yao? Suti hawazijui?
Ohooo sasa suti si za kanisani nazo
Ujue hapa tunachanganya dini na culture
Nachukia tunavofundshwa kwenye majumba ya ibada kwamba tamaduni za watu wengine ndo sahih na ndo Mungu anazitaka
 
Politics is everywhere
 

Attachments

  • IMG-20230903-WA0014.jpg
    IMG-20230903-WA0014.jpg
    47.3 KB · Views: 2
Exactly! Siasa inaanzia nyimbani hadi kila sehem.
Siasa inaamua
Tulipwe kiasi gani
Tulipe kiasi gani
katika elimu, biashara, kilimo, ufugaji, n.k
Kweli kabisa..
Na wakisema dini isichanganye na siasa basi na wao wasiapishwe kabisa wakishateuliwa kuwa viongozi[emoji3]
 
Back
Top Bottom