Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

nitake radhi
Kwa post yako ya kwamba CDM wanataka kuligawa taifa, HAPANA, WALA SIFANYI HIVYO UTAKAVYOTAKA WEWE..!! LABDA USEME CDM WANATAKA KULIGAWA TAIFA KWA NAMNA GANI, na sababu utakazozitoa nikubaliane nazo..!! Vinginevyo, ni yale yale ya watuhumiwa wa uhaini kupewa dhamana wakati tuhuma za uhaini hazina dhamana.
 
haya mambo huyaelewi ndugu sisi tunajua na tukikwambia wacha kubisha
 
Dah 😀 jamaa atakuwa anajuta sana leo kuongea na itakuwa yupo humu anasonya tu na zingine nae anacheka sana 😀
 
Huwezi tenganisha thus siasa inahitaji dini kuombea amani,wanasiasa wanaapa kwa vitabu vya Dini na Sio katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…