Picha inaongea! Msichanganye dini na siasa

chadema wanataka kuligawa taifa
Samwel Luhanga lazima anyenyekee kwa hao jamaa, kwasababu ndio walimpa elimu, wasingekuwa hao jamaa angekuwa mvuvi kule bagamoyo, na mwenyekiti wa kijiji cha msoga.
 
Jaribu kumsikilza huyu mzee[emoji2960]
Your browser is not able to display this video.
 
Hao waarabu wenyewe wamekuja kidini dini,
Kwanini wafunge mashuka ya kimasai kichwani na wavae makanzu yao? Suti hawazijui?
Ohooo sasa suti si za kanisani nazo
Ujue hapa tunachanganya dini na culture
Nachukia tunavofundshwa kwenye majumba ya ibada kwamba tamaduni za watu wengine ndo sahih na ndo Mungu anazitaka
 
Exactly! Siasa inaanzia nyimbani hadi kila sehem.
Siasa inaamua
Tulipwe kiasi gani
Tulipe kiasi gani
katika elimu, biashara, kilimo, ufugaji, n.k
Kweli kabisa..
Na wakisema dini isichanganye na siasa basi na wao wasiapishwe kabisa wakishateuliwa kuwa viongozi[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…