nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
- Thread starter
- #21
sawa lakini kwa nini aichafue nchi kwa ku post hiyo picha hujui tuko kwenye vita ya kiuchumi na mabeberu?
Yaani kama hiyo barabara hupitia kwenye hilo shamba inamaana jaji apite wapi?? Barabara nyingi hupitika msimu wa kiangazi tu na mavua ya mwaka huu yanashuka bila kipimo. Si yalimkuta huko alipokuwa akitoa huduma?? Mwache aandie na kuposti huenda tukapata msaada fastaSasa unapitisha gari bonde la mpunga unategemea nini?
Na wewe jipeleke kwa kupost hapa, ndio uzalendo huo.Ona jinsi huyu Jaji namba 62 alivyokosa uzalendo kwa nchi yake,ni majuzi tu kijana mchapakazi,mnyenyekevu,muadilifu,higly intelligent RC Gambo alitoa amri kwa Jeshi la Polisi kuwakamata watanzania wanaotumiaka na mabeberu kuhujumu uchumi wa nchi kwa ku post kinachodaiwa eti ni barabara mbovu huko Ngorongoro
Kauli hiyo ya kijana huyo mpendwa wa mkuu wa nchi ilipokelewa haraka kwa utekelezaji na RPC mzalendo namba moja East Africa nzima,RPC mnyenyekevu, asiyejilimbikizia mali na anayefanya kazi kwa uadilifu bila kubagua wananchi kwa itikadi za vyama,RPC Shana ambaye ameahidi kuwashughulikia wote waliopost picha hizo hadi wachakae
Wakati wazalendo hao wa jiji la Arusha wakipambana kuhakikisha nchi inashinda vita hivi vya kiuchumi cha kushangaza Jaji namba 62 wa nchi hii anapost picha kama hii!
Natumai DPP atamfikisha Mahakamani haraka kwa uhujumu uchumi. Kishindo cha awamu ya tano kimesikika kote Duniani sema kuna watu wanatumika na mabeberu kuonesha kwamba tuna barabara mbovu kwa kupost vipicha vyao
View attachment 1361979
Kuna barabara hapo au walikuwa shambani. Tuache ushabiki. Hao wako shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hilo gari ndio trekta?Kuna barabara hapo au walikuwa shambani. Tuache ushabiki. Hao wako shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
...kwa jinsi unavyoonyesha Mahaba kwa bwana RC, inaelekewe wewe ndiwe mwenyewe![emoji3][emoji3]Ona jinsi huyu Jaji namba 62 alivyokosa uzalendo kwa nchi yake,ni majuzi tu kijana mchapakazi,mnyenyekevu,muadilifu,higly intelligent RC Gambo alitoa amri kwa Jeshi la Polisi kuwakamata watanzania wanaotumiaka na mabeberu kuhujumu uchumi wa nchi kwa ku post kinachodaiwa eti ni barabara mbovu huko Ngorongoro