Picha: Inasikitisha sana! Jaji ashiriki kuhujumu uchumi wa nchi. DPP chukua hatua

sawa lakini kwa nini aichafue nchi kwa ku post hiyo picha hujui tuko kwenye vita ya kiuchumi na mabeberu?
 
Sasa unapitisha gari bonde la mpunga unategemea nini?
Yaani kama hiyo barabara hupitia kwenye hilo shamba inamaana jaji apite wapi?? Barabara nyingi hupitika msimu wa kiangazi tu na mavua ya mwaka huu yanashuka bila kipimo. Si yalimkuta huko alipokuwa akitoa huduma?? Mwache aandie na kuposti huenda tukapata msaada fasta
 
Na wewe jipeleke kwa kupost hapa, ndio uzalendo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...kwa jinsi unavyoonyesha Mahaba kwa bwana RC, inaelekewe wewe ndiwe mwenyewe![emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu afunguliwe shitaka la kutakatisha fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…