makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hapo sio at uongeze gharama za kibari ndio aendelee kujenga. No. Ipo hiv; Maelezo ya mwanzo ya jamaa aliewekewa X. Ramani yake sio ya gorofa alioombea kibari, ilikuwa nyumba ya kawaida ambayo pale mbele kibarazani pana zege juu badala ya bati. wengine huwa wanaweka tank la maji au dish.Inaweza kiasi gani cost yake
Kwa mjengo kama huo, hao wataalamu wanaweza kugharimu kiasi gani kwenye michoro/drawingsKuna Wasanifu (Architect), Wakadiliaji (Quantity Surveyor), wahandisi (Engineers) wa ujenzi, umeme, mifumo ya maji
Bei ni tofauti kulingana na level ya service utakayotaka. Mfano kama utataka service hiishie kwenye design peke yaka na kuwa na more detailed drawings ama hata kwenye ujenzi ashiriki ili ku hakikisha ubora wa kazi na kile kilichokuwa designed kwenye paper kinakuwa halisiKwa mjengo kama huo, hao wataalamu wanaweza kugharimu kiasi gani kwenye michoro/drawings
mkuu wewe ni akina kamugisha au?Halafu hii Garage Land cruiser V8 itatoshea kweli hapo?