ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Makadirio yangu, kwa reasonable house ya 80m² itakuwa 30,000,000±Okay, so hapo budget yake ni ngapi kwa makadirio yako hadi nyumba isimame kama hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makadirio yangu, kwa reasonable house ya 80m² itakuwa 30,000,000±Okay, so hapo budget yake ni ngapi kwa makadirio yako hadi nyumba isimame kama hivyo
Hapo fundi unampa lawama hasizo stahili. Kwenye ujenzi kuna taaluma nyingi zinafanya kazi kwa pamoja. Kuna Wasanifu (Architect), Wakadiliaji (Quantity Surveyor), wahandisi (Engineers) wa ujenzi, umeme, mifumo ya maji, mifumo ya air-conditioning na mifumo ya mawasiliano then ndipo wanafuata mafundi.Kwa hiyo wewe ukienda hospital unataka Dr ahisi ugonjwa wako? Mkuu tusirahisishe maisha namna hiyo. Vitu makini vinahitaji analysis za uhakika.
Mafundi wa mtaani 90% hawajui kukadiria, hawajui hesabu, tunafanya nao kazi tunajua. Mpe ramani kamili mwambie hii ramani kwenye eneo hili niandae tofali ngapi walau, hakupi jibu hata linalokaribiana. Kama tu budget yake ya gharama za kujenga haziwezi, ataweza kukukadiria jengo lako?
Sio mkoa kwa mkoa tu hata hapa dsm unatofautiana sana, ujenzi wa kivule na goba ni tofautiNaona watu wameshindwa kumuuliza muhusika swali la msingi kwamba hilo jengo anajengea wapi?
Ujenzi wa mji kama wa Dar huwezi kuufananisha na wa Mbeya,gharama zinazidiana mkoa kwa mkoa,kwa hela hiyo mkoa A inaweza kutosha au akaongeza kidogo wakati mkoa B inaweza isifikishe hata 50% ya ujenzi.
Mpaka miaka ya leo kuna mabata bado mnapigwa deal na hizo mbuzi za Kinaigeria?Hii ramani kali sana, nimeipenda ni nyumba ya vyumba viwili, nimeitoa huko Twitter kwa mnigeria, mwenyewe anadai anaweza kukujengea nyumba kama hiyo ya kwa Naira milioni 5 tu ambapo hiyo ni sawa na milioni 15 na laki 9 kwa pesa za kibongo (15,907,496.08)
Yule jamaa kama ni kweli anaweza kujenga hiyo nyumba kwa kiasi hicho Cha pesa basi atapata wateja wengi sana maana nimeona watu wengi wamemuomba mawasiliano yake japo wapo watu walio doubt kwamba ni japo lisilowezekana.
Halafu pia kwenye Comment Section kupitia hiyo tweet yake nimeona jamaa Kasema kwao mfuko mmoja wa cement ni Naira 8,400 ambayo ni sawa na Tsh 26,700, hiyo ni gharama kubwa sana ukilinganisha na bei ya huku kwetu ambayo inachezea kwenye 16,500 hadi 18,000 je kwa fact hiyo inawezekana kushusha mjengo kama huo kwa milioni 16 pekee
Eniwei, Mimi nimeipenda hiyo ramani hata kama itanicost milioni 50 fresh tu ilimradi kitu kitoke kama kilivyochorwa hapo japokuwa jamaa kasema hiyo design ni best suitable for 2 bedroom ila Binafsi ningependa iwe 3 bedrooms hata kwa ku convert hiyo Car garage hiyo hapo chini to another room
Kuna Eng hapa Bongo anaweza modify hiyo ramani iwe 3 bedrooms instead of 2 bedrooms?View attachment 2683359
💯🤝Nyumba imenivutia design yake. Ila kwa 16M hufiki popote mkuu
Hii uliyoweka ni ramani au picha?!Hii ramani kali sana, nimeipenda ni nyumba ya vyumba viwili, nimeitoa huko Twitter kwa mnigeria, mwenyewe anadai anaweza kukujengea nyumba kama hiyo ya kwa Naira milioni 5 tu ambapo hiyo ni sawa na milioni 15 na laki 9 kwa pesa za kibongo (15,907,496.08)
Yule jamaa kama ni kweli anaweza kujenga hiyo nyumba kwa kiasi hicho Cha pesa basi atapata wateja wengi sana maana nimeona watu wengi wamemuomba mawasiliano yake japo wapo watu walio doubt kwamba ni japo lisilowezekana.
Halafu pia kwenye Comment Section kupitia hiyo tweet yake nimeona jamaa Kasema kwao mfuko mmoja wa cement ni Naira 8,400 ambayo ni sawa na Tsh 26,700, hiyo ni gharama kubwa sana ukilinganisha na bei ya huku kwetu ambayo inachezea kwenye 16,500 hadi 18,000 je kwa fact hiyo inawezekana kushusha mjengo kama huo kwa milioni 16 pekee
Eniwei, Mimi nimeipenda hiyo ramani hata kama itanicost milioni 50 fresh tu ilimradi kitu kitoke kama kilivyochorwa hapo japokuwa jamaa kasema hiyo design ni best suitable for 2 bedroom ila Binafsi ningependa iwe 3 bedrooms hata kwa ku convert hiyo Car garage hiyo hapo chini to another room
Kuna Eng hapa Bongo anaweza modify hiyo ramani iwe 3 bedrooms instead of 2 bedrooms?View attachment 2683359
Kwani Mnigeria kasema anajenga nyumba TANZANIA ????Ngoja jumba bovu liwaangukie Mnigeria ana lake jambo.
Hiyo ramani sio yake, picha hiyo katoa mtandaoni, nimeshaiona. Hilo jengo linafaa kwenye slope kidogo. Pia naamini kuna ramani nzuri zaidi ya higo. cha msingi hapo eneo lako likoje. Unachukua ramani hakikisha iendane na site, km hilo umezingatia sawa. kurekebisha garage kuwa chumba hapo hakitakaa sawa mana urefu mdogo, katakuwa kama kaandaki.Ndani jamaa kagoma kuonesha isipokuwa kwa wale ambao wapo tayari kufanya nae kazi
Hilo gorofa kaka. kuna mtu alipigwa X kibalaza tu cha nche mbele baada ya kujiongeza akataka aweke ngazi na sehemu ya kupumzikia juu. Akakuta X hakuna kuendelea juuMimi naomba kujua kama 1.5 storey kama hii inahutaji design approval kama mgorofa? Yaani architects, structural, umeme, maji na bango? Au ni kawaida tu kama tunavyofanya mijengo ya kawaida?
Ndoto za Alinacha.Hii ramani kali sana, nimeipenda ni nyumba ya vyumba viwili, nimeitoa huko Twitter kwa mnigeria, mwenyewe anadai anaweza kukujengea nyumba kama hiyo ya kwa Naira milioni 5 tu ambapo hiyo ni sawa na milioni 15 na laki 9 kwa pesa za kibongo (15,907,496.08)
Yule jamaa kama ni kweli anaweza kujenga hiyo nyumba kwa kiasi hicho Cha pesa basi atapata wateja wengi sana maana nimeona watu wengi wamemuomba mawasiliano yake japo wapo watu walio doubt kwamba ni japo lisilowezekana.
Halafu pia kwenye Comment Section kupitia hiyo tweet yake nimeona jamaa Kasema kwao mfuko mmoja wa cement ni Naira 8,400 ambayo ni sawa na Tsh 26,700, hiyo ni gharama kubwa sana ukilinganisha na bei ya huku kwetu ambayo inachezea kwenye 16,500 hadi 18,000 je kwa fact hiyo inawezekana kushusha mjengo kama huo kwa milioni 16 pekee
Eniwei, Mimi nimeipenda hiyo ramani hata kama itanicost milioni 50 fresh tu ilimradi kitu kitoke kama kilivyochorwa hapo japokuwa jamaa kasema hiyo design ni best suitable for 2 bedroom ila Binafsi ningependa iwe 3 bedrooms hata kwa ku convert hiyo Car garage hiyo hapo chini to another room
Kuna Eng hapa Bongo anaweza modify hiyo ramani iwe 3 bedrooms instead of 2 bedrooms?View attachment 2683359
Inaweza kiasi gani cost yakeHilo gorofa kaka. kuna mtu alipigwa X kibalaza tu cha nche mbele baada ya kujiongeza akataka aweke ngazi na sehemu ya kupumzikia juu. Akakuta X hakuna kuendelea juu