Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Hadithi hii inatufundisha kuwa;

Hakuna maisha ya mteremko,

Maisha ya kutegemea K kwa watoto wa kike yamepitwa na wakati ,
Watot wa kike wasome kwa bidii na kufanya kazi kwa bidii vinginevyo ni kudhalilika tu kwenye jamii!
 
Yes ni kweli boss...Tatizo watu wana mihemko tu na wanasahau uhalisia wa haya mambo kisheria.
Yes hata mimi nijuavyo, mali za wazaz ni urithi wa watoto maana mke/anaweza kuwa na mwenza wake mwingne

Sanasana kama kuna pesa ipo basi mjane/mgane anaweza kuambulia
 
Suala la mirathi ya Mengi sio rahisi kama wengi tunavyofikiria, kumbuka ndoa yake na Jacky ilifungwa nje ya TZ, kwa iyo hapo kuna suala la sheria za nchi gani zitatumika kwenye mirathi, Kyle alipofunga ndoa au TZ kwenye Mali?

Kama sheria za TZ zitatumika, Je watatambua sheria za nchi ambayo mjane na marehemu walifunga ndoa?

Itapendeza wanasheria wetu wakitufungua macho kwenye hili ili na wengine wapate elimu wanaotaka kufunga ndoa kwenye foreign jurisdictions.
 
Kwanini unahisi upo sahihi???Je hauhitaji mawazo tofauti na yako katika hili? ?
 
waambie na wenzio hakuna kitu kama hicho
watoto wote ni sawa
pia wosia wa marehem unaeza kutumika kadri alivowagawia mali

hakuna cha udogo wala utuuzima sema jack ndo atakua muangalizi wa mgao wa mapacha wake till 18yrs
ila pia mke anaeza akapata ka asilimia kwa kile alichochuma na marehemu
otherwise wosia alouacha mengi utaje hao watoto wa jack wapate kingi kitu ambacho sikifikirii
 
Kama haya yanayosemwa yana ukweli na Mengi kaacha will inayompa Jackie percentage kubwa kuliko watoto wakubwa basi lawyers wajiandae kuvuna mpunga mrefu maana naona kuna kesi kubwa inakuja muda si mrefu ujao.
Sure broh, mimi hili nililiona kitambo..... kuna mijitu nilikuwa nikiiambia inakuwa migumu kuamini, kama jamaa itakuwa kaacha will ambayo inaonesha K lyn anapesa ndefu ni lazima kutakuwa na uwalakini hapo.

Pia mkuu embu jaribu kupitia Instagram ya Jack,... yaani kati ya picha 100 alizopost picha 2 kama sio 3 ndio zinaonyesha yuko na mzee zingine zote hakuna kitu..... yuko kislay queen

Pia tazama hata hizi za mwishoni mwishoni alizopiga na mzee hazipo hata moja

Inatia ukakasi kwa kweli
 
@mnazareth,sisemi niko sahihi,naongea kwa logic tu,since hakuna mwanasheria hapa hata mmoja katuwekea vifungu vya sheria, let say jack angekuwa ni mjane wa miaka Sabini,halafu ana watoto wa miaka ishirini,halafu watoto wa mke alieachika wana miaka tisini,huyo mjane ataachwa kwenye mgao eti kisa anaweza enda kuolewa kwingine?
 
Vipi jamani tupicha tumeishia pale tu, hakuna twingine ambato wapo uchi au ndo tusubiri!?
 
jamani hebu mtujuze kuhusu hawa WAMACHAME mbona wanaongelewa tofauti!!!!.. kuna kitu gani hatari kutoka kwao mpaka watishe kiasi kisichojulikana!!!?
 
Reactions: BAK
Hizi picha ni photoshop, ukizichunguza utagundua hazina ukweli wa details.
 
Na zaidi picha na habari zilizokwenda kwa Mange zimetoka kwa familia. Mange mwenywe amekiri hivyo. Watu wanamsifu Mange, lakini ukweli ni wkamba she is a mere mouthpiece. Wewe una mawazo ya mwanasheria. Unajaribu kuangalia mambo objectively. Ni nini motive ya familia kupelekea Mange habari na picha zile? Sababu iko wazi.
 
We ndiyo hujui kitu lambi lambi ndiyo nini!!?
 
You hit the nail on the head. This is a natural law. Nenda uendako. Hata kwenye wanyama kama simba. Mwanamke anahitaji security - ya uchumi na usalama wake (protection) na wa watoto wake. Ndio maana umri ama sura yako wewe wa kiume siyo kitu kikubwa kwa mwanamke. Kitu kikubwa ni je, unatoa security kwake na watoto wake? Kwa mwanaume, unataka farijiko na ku-pass on your genes (vinasaba) ama damu yako. Nashangaa watu wazima wanauliza eti kwa nini Jackline alimpenda mzee Mengi... It is a stupid question.
70% ya ndoa hazijabase kwenye mapenzi,mwanaume anataka farijiko la moyo wake in exchange anaprovide economic security kwa mwanamke,so argument kuwa jack hakumpenda mengi ni irrelevant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…