Kwanini ni ngumu na alikuwa Mkewe na wamezaa ,,
Binafsi nisingependa kuona huyu bidada akipata chochote maana hajashiriki katika kuvitafuta hata kidogo, Lakin wanawe wanapaswa kuangaliwa sana sana .
Asipate chochote ili kukomesha hii tabia ya wadada kutaka kuolewa na wazee ili warithi mali maana naamini hakumpenda Mzee wetu
Tatizo ndo hivo inasemekana Mzee alisha muandika kwenye urithi .Kwahiyo anaweza kwenda mahakamani kudai hilo.
Ni ngumu sana pia watoto wakubwa wa Mzee wakubali Jack awe mkurugenzi mpya na wao wawe chini yake ni ngumu sana hapa patapiganwa vita vyote hata vya ndumba na live.
Dada yetu huyu atapitia wakati mgumu sana kwenye maisha yake dhid ya hawa ndugu zangu wachagga wa machame ,,
Tusubiri mda ni jawabu zuri