Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Kuwa na ndoa halali sio kigezo cha kugawiwa urithi .kuna

1.Mali binafsi ya mwanandoa
2.Na mali ya wanandoa


Jack anamchango gani kwa Mzee zaid ya kumletea umauti tu.?
Wewe una uhakika gani kwamba Jack ndie kamsababishia Mzee Mengi umauti? Kwenye mali naelewa kwamba chochote kilichopatikana kwenye ndoa na ikaonekana mwanandoa alikuwa ana mchango chanya basi lazima apate mgao
 
Naona wamachame wa Jf wamevimba mashavu vibaya sana hahaha

Mnakoelekea mtamtoa roho Jacky kwa uzushi mnaopewa, then mtaozea jela

Someni sheria ya ndoa mtaelewa nini maana ya ndoa, mirathi na vitu kama hivyo

Lazima mjue huku sio machame, huku ni duniani

Huku duniani, mwenye akili ya sheria ndio mshindi.
 
Hivi nani alimtamani mwingine? Nani alifukuzia kuliko mwingine? Nani alikuwa anaomba appointment? Je mzee alikuwa na vision na mission kuwa na watoto wadogo? Kama malengo ya mzee yamekamilika maana yake ameacha msingi na pathway ya miaka mia ijayo kwa ajili ya watoto. Umbea wa huu uzi una mawazo ya kiswahili na kimaskini.
 
Hivi nyinyi hamuoni hii kama ni muvi hii inaonekana familia ya mzee inataka imuondoe kwenye urithi huyu dada hii picha ni ya zamani sana kabla hata smartphone hazijaingia hiyo ni nokia90 nakumbuka nilikuwanayo ilikuwa inatoa picha kama hizo kabla hajawa na mengi
Wamachame nuksi.
 
jack ni mke wa ndoa wa mengi,iwe alikuwa hampendi,alikua anacheat sijui,alikua anamtukana na kumchamba etc,IT DOESNT MATTER,anabakia mke wa ndoa wa mengi,awe sijui alimwacha hos peke yake,haijalishi,sheria inamtambua kama mke wa mengi,full stop
 
You have wrong info.

Kuishi bil kula/ kuliwa haiwezekani.
Sema wewe kuishi bila kula/ kuliwa haiwezekani. Hata hivyo inawezekana nabishana na mtu ambae hata biblia hajui ni kitu gani maana ungekuwa unasoma bible singebisha au zaidi ungesema wewe hilo neno unalielewaje
 
nichukue nafasi hii kuwanasihi ndugu zangu wamechame,acheni hizo,,mengi alimuoa huyo binti akiwa na aakili timamu kabisaaaa,na hakuna mtu alimlazimisha,Nduguzanguni wamachame inabidi mkubaliane na ukweli mchungu tu,mali zinahamia chibtoke
 
Back
Top Bottom