Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Kuna watu wanapenda sana kuonana mwingine akianguka na kupata shida..
Yani hapa wanachotaka kuona Jackie ananyimwa urithi na kufukuzwa..huu ni ushetani
Yani hapa wanachotaka kuona Jackie ananyimwa urithi na kufukuzwa..huu ni ushetani
Alimchagua Jackie kati ya wanawake milioni, akasema huyu ndie nitamaliza nae umri wangu uliobakia na kweli ndoto zake zimetimia, sasa wenye chuki mnamtolea macho mjane na maskendo kibaooo me nawapa pole sababu Mungu yupo upande wa wajane siku zote.