- Thread starter
- #181
Ishu sio kuchiti, bali kumdedisha ili urithi mali
Una uhakika alimuua? Ukipelekwa mahakamani utoe ushahidi utaweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishu sio kuchiti, bali kumdedisha ili urithi mali
Video ya baba.ndio ilinipunguzia hasira, waremavu wanazimia yeye tuliiiiiLabda azimie kwa kupoteza ATM
Mali za mwingine wanaopata hasira wengine! Hahaanichukue nafasi hii kuwanasihi ndugu zangu wamechame,acheni hizo,,mengi alimuoa huyo binti akiwa na aakili timamu kabisaaaa,na hakuna mtu alimlazimisha,Nduguzanguni wamachame inabidi mkubaliane na ukweli mchungu tu,mali zinahamia chibtoke
Mmh babe hapo kwenye kumpenda hapana japo mengine yote yanaweza kuwa sahihi
Hili jamaa nalijua. Linatoka lebanon. Sidhani kama ni balozi. Yalikuja dsm yakiwa matoto kabisa.Jamani Jamani wanazengo Leo wambea tutakufa kwa pressure maana sio kwa double breaking news za Leo , yani wakati sakata la gwajima bado likiwa bichi, Jipya laibuka kuhusu mke wa marehemu mengi akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanaume aliyetajwa kutoka nae kimapenzi anayejulikana kwa Jina la Hussein mmliki wa element bar na balozi.
Ila wanazengo Leo nimemuangalia jacky kwenye msiba alivyo mkavu na tinted juu sijui alikua anaficha nini usoni, yan ukiangalia kwa makini utasema Madam ritha Ndo alikua mfiwa Na sio jacky, na ndio maaan hata watu walikua hawana time naye kabisa kumpa pole, yan Yale maneno ya mange yanaanza kuniingia kichwani, jacky she is a Jezebel .
Mi nilivyoona mange kataja mpaka Jina la mwanaume mpaka picha ikapostiwa pale pale mbea mie nikawa alerted there is something danger .
Unajua kwa stage aliyofikia mengi hakupaswa Kuwa na stress kabisa , huenda aligundua kitu kutoka kwa jacky, na kama mnavyojua babu yetu alikufa na kuoza kwa jacky, alikua aambiliki, Ila sema Ndo hivyo mapenzi upofu.
Na nimemuona regina alivyonuna wakati kabeba shada ya maua mmh yani jacky ajiandae tu kuvuliwa nguo , na kama tu ikijulikana alikua anacheat, itakula kwake hataambulia hata Mia na wamachame watamfanyia kitu mbaya atajuta maisha yake yote View attachment 1091184View attachment 1091185View attachment 1091186
Mmh babe hapo kwenye kumpenda hapana japo mengine yote yanaweza kuwa sahihi
Hahaha hapo kwenye mapenzi nimekataa kwa kweliHata watoto hakuzaa kwa kuwa alimpenda Mengi.
Bali alizaa nae ili “atege mingo”
Watoto kawazaa kama kitega uchumi!
Kaenda pale kimkakati , sasa sijui atakuwa amefanikiwa? [emoji87][emoji87]
Kama una ushaidi si ubandike hapa ubaoni zaidi ya hivo yatabaki kuwa maneno ya vijiweniIshu sio kuchiti, bali kumdedisha ili urithi mali
Ila warithi wake wana haki...ambao ni watoto wake hvyo nae kama aliandika kuhusu mirathi yake automatically Mali zitaangukia kwa watoto wake...Marehemu hana haki
Watu ni waongo Sana... Wengine wanasema wamelia Sana, wengine wamevurugwa, wengine wamekosa hadi hamu ya kula... Watu wanafeki mno hadi inaboaHahaha! Wabongo buana...
Sasa watetemeshwa na nini kwa mfano...
Yani wabongo na angezimia mngesema mnafek bora yeye sio mnafki wala kuzimia au kulia sana haimaanishi huna uchungu muache chuki kwa mwanamke mwenzetuVideo ya baba.ndio ilinipunguzia hasira, waremavu wanazimia yeye tuliiiii
Yani watu wote humu hamjui mnachokiongea mmekalia chuki tu kuongea kwa mihemko hata sheria hamjui kwa taarifa yenu kisheria wale watoto wadogo ndio wanaurithi mkubwa kushinda wote wale wana 50% hizo zinazobaki ndo wanagawana wakubwa na mjane alieachwa watoto wanapewa urithi mkubwa kwasababu hawajitegemei bado wadogo ndo maana hata Magu aliwapa watoto wa jacky lambi lambi hamjiuliz kwanini hakumpa yule kijana punguzen chuki kuongea msichokijua